Peter Msigwa: Mheshimiwa Rais hajui maana ya uzalendo

Cicadulina

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
974
2,366
Nadhani Mhe.Rais hajui maana ya uzalendo. Na pengine anadhani kwa kuwa Rais basi yeye ni Mzalendo kuliko wote. Ni mtazamo potofu. Kuwa Rais wa nchi au ngazi yoyote ya UONGOZI na madaraka katika taifa letu, sio kigezo cha uzalendo , japo inategemewa hivyo,
1. Kuvunja katiba ya nchi kwa kuzuia vyama vya siasa visifanye mikutano ya hadhara , huo sio uzalendo.

2. Kutisha vyombo vya habari visitangaze askari anyetoa bastola hadharani kinyume na taalume na maadili yake , huo sio uzalendo.

3. Kukemea na kufokea wahanga wa tetemeko la ardhi kwa kudai setikali haikuleta Tetemeko huo sio uzalendo.

4. Kutumia vyeti amabavyo sio vyako , huo sio uzalendo.

5. Kuvamia vituo vya Tv za watu kwa maslahi yako binafsi , huo sio uzalendo,

Msigwa the MP For iringa urban 24/3/2017

Kwa hisani ya ukarasa wake wa facebook
 
Nadhani Mhe.Rais hajui maana ya uzalendo. Na pengine anadhani kwa kuwa Rais basi yeye ni Mzalendo kuliko wote. Ni mtazamo potofu. Kuwa Rais wa nchi au ngazi yoyote ya UONGOZI na madaraka katika taifa letu, sio kigezo cha uzalendo , japo inategemewa hivyo,
1. Kuvunja katiba ya nchi kwa kuzuia vyama vya siasa visifanye mikutano ya hadhara , huo sio uzalendo ,
2.kutisha vyombo vya habari visitangaze askari anyetoa bastola hadharani kinyume na taalume na maadili yake , huo sio uzalendo
3. Kukemea na kufokea wahanga wa tetemeko la ardhi kwa kudai setikali haikuleta Tetemeko huo sio uzalendo,
4.kutumia vyeti amabavyo sio vyako , huo sio uzalendo.

Muulize pia Msigwa kuwa alivyokuwa anamsema Lowassa vipi mbona haji kumsafisha hapa?
 
Nadhani Mhe.Rais hajui maana ya uzalendo. Na pengine anadhani kwa kuwa Rais basi yeye ni Mzalendo kuliko wote. Ni mtazamo potofu. Kuwa Rais wa nchi au ngazi yoyote ya UONGOZI na madaraka katika taifa letu, sio kigezo cha uzalendo , japo inategemewa hivyo,
1. Kuvunja katiba ya nchi kwa kuzuia vyama vya siasa visifanye mikutano ya hadhara , huo sio uzalendo ,
2.kutisha vyombo vya habari visitangaze askari anyetoa bastola hadharani kinyume na taalume na maadili yake , huo sio uzalendo
3. Kukemea na kufokea wahanga wa tetemeko la ardhi kwa kudai setikali haikuleta Tetemeko huo sio uzalendo,
4.kutumia vyeti amabavyo sio vyako , huo sio uzalendo.
5. Kuvamia vituo vya Tv za watu kwa maslahi yako binafsi , huo sio uzalendo,

Msigwa the MP For iringa urban 24/3/2017

Kwa hisani ya ukarasa wake wa facebook
Na hata kusema eti pana TV inaonesha habari za migogoro ya wakulima na wafugaji pia si uzalendo,ulitaka wafiche ili watu yaendelee kuuwana?
 
Huyu nae ni kweli waziri kivuli sijawahi kusoma chochote cha maana kutoka kwake
 
Huyu MSIGWA NAE AKILI ZAKE ZIPO KUSHOTO SANA......hana hiyo moral AUTHORITY YA KUMNYOOSHEA KIDOLE MAGUFULI....maana hashindwi hata kidogo kuja kumlamba MAGUFULI MIGUU kama ambavyo alifanya kwa LOWASSA
 
Uzalendo huanza kuheshimu na kulinda katiba ya nchi..
Hukuheshimu katiba utaheshimu kipi nchini ili uonekane mzalendo ?
Au uzalendo ni kudhibiti hela na kuelekeza miradi ya maendeleo Cheteo, huku ukileta balaa la njaa, eti mtakua mashetani, shetani ni yule anaezini na shemeji yake.
 
Huyu MSIGWA NAE AKILI ZAKE ZIPO KUSHOTO SANA......hana hiyo moral AUTHORITY YA KUMNYOOSHEA KIDOLE MAGUFULI....maana hashindwi hata kidogo kuja kumlamba MAGUFULI MIGUU kama ambavyo alifanya kwa LOWASSA
Umeishiwa Na akili au miguu?pole Dada wewe Na Msigwa ni anga Na ardhi!ulumumba huu aibu
 
Na hata kusema eti pana TV inaonesha habari za migogoro ya wakulima na wafugaji pia si uzalendo,ulitaka wafiche ili watu yaendelee kuuwana?

Ingekuwa busara kuu Kama angefoka kwa Ma-DC kwa kutodhibiti ugomvi wa Wakulima na Wafugaji ilivyombo vya habari visipate habari hizo! Kuliko kuonesha hasira kwa vyombo vinavyo kujulisha ukweli wa mambo upande fulani wa Jamhuri!
 
1.kuita watoto wa wenzako VI.LAZA alafu anabaki mtoto wako kila.za aendelee na chuo. HUU NAO SI UZALENDO.

2.Kutumbua watumishi wengine waliofoji vyeti, na kumuacha BASHI.TE huu nao si UZALENDO.
 
UZALENDO USHAKUFA SIKU NYINGI SANA TZ. YY MWENYEW ANALIJUA HILO.
Siwez kuwa mzalendo kwq nchi inayoitwa Tanzania. Angekuwa mzalendo asingefuta ajira
 
Back
Top Bottom