Kwanza, nawapongezeni kwa juhudi zenu ktk kutafuta maisha bora na ujenzi wa taifa letu. Pili, mimi ni kijana wa kiume (miaka 26). Furaha yangu ni kumpata rafiki wa kike anaeishi mwanza, mara au geita. Shabaha ya urafiki wetu itakuwa ni kujengana kimaisha kwa kubadilishana mawazo yenye kumjenga...
Namwomba Mungu akuponye upesi urudie harakati za ukombozi wa taifa letu. Hawatatudhulumu milele. Mbinu zao ni chafu lakini naamini ushindi ni wetu coz Mungu yuko upande wetu.
nimependa hapo kwenye ofisi za ccm. CCM ni wezi na matapeli hata kwa vitu vilivyo wazi. Ni mjinga pekee ataweza kuamini kuwa mwaka 1995 ccm walikuwa na uwezo wa kujenga viwanja vyote wanavyodai kuvimiliki. Viwanja hivyo pamoja na vitega uchumi vingine vingi vilijengwa kwa nguvu ya wananchi wote...
mkuu kauli yako imenikosha sana. Mwigulu hana tofauti na komba alitamka kuwa chadema ndo wanafelisha wanafunzi. Fuatilia kauli nyingi za wabunge wengi wa ccm utaweza baini kuwa hazina miguu ya kusimamia(research). Kwao bora ni kuropoka tu alimradi aonekane kuilinda serikali.
Ubunge wa Mwigulu ni matokeo ya kuruhusu akili ndogo iongoze akili kubwa. Huyu na tumbo tumbo(komba) ni the same. Mwigulu anapaswa aweke wazi ni kiasi gani ccm imechangia ktk ujenzi wa shule hizo. Hivi anafikiri kuwa tumesahau jinsi ndugu zetu walivyoteseka kutokana na ujenzi wa shule hizi? Kuna...
nakubaliana nawe kwa namba 3 na 6. familia ambazo mke ana sauti kuliko mume daima mabinti wa hapo huwa wana kiburi kinachotokana na mama yao. Wanakuwa wanafikiri kuwa wana uwezo wa kuwafanya waume zao kama mama yao anavyomfanyia baba yao yaani ni nadharia na vitendo. Pia mwanamke mchawi ni sumu...
Kwanza nawapa pole kwa mihangaiko ya kutwa ya ujenzi wa taifa letu. Naamini mwisho wa yote ni kujenga taifa lenye ustawi imara kwa manufaa ya wote. Pili naombeni mnipokee kwa furaha ktk jukwaa hiki. Permorejah sana.
YA MRWARA NA UTAJIRI WA MALIASILI ZETU
Baada ya Mtwara sijui ni wapi patafuata. Yaweza kuwa Arusha (Tanzanite), Shinyanga (Almasi na Dhahabu), Mwanza (Samaki), Mara (Dhahabu) na kwingineko kwingi. Ni viongozi wenye utashi wa kutoa maaamuzi ya busara tu wanaweza kutunasua na tope hili. Nafikiri...
Hawa jamaa wametuonea vyakutosha sasa hiviv hali ya maisha hapa UDOM ni mbaya sana, watawala hawaonekani kuguswa na hili tatizo maana wao ndio sehemu kubwa ya matatizo haya.
Kila siku tunabandikiwa matangazo ya kutusihi tuwe wavumilivu lakini hakuna positive impact yoyote. sasa tumechoka lolote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.