Wana JF,
Habari habari nilizo zipata kutoka ndani ya CHADEMA Ilemela zinasema mikakati ya mbunge kiwia kuandaa mazingira ya kushinda ubunge mwaka mwaka2015 imesababisha kung'oka kwa katibu wa wilaya aitwae Majura. Inaelezwa majura amejiuzulu baada ya kupinga mpango wa mbunge huyo kumfanya kaka...
Nchi hii kila mtu ana haki ya kuchagua ujinga unaomtosha,lakini wewe umechagua ujinga mwingi kuliko kichwa chako endelea kurandaranda uchi na utafia jalalani kwa Mwigulu.
ndani ya mioyo yenu mnajua hakuna mtu aliyeijenga chadema kufikia mahli pa kuinyima usingizi ccm na serikali yake. Tunawasikiliza lakini ushauri wenu hatuhitaji
Kisandu yuko mkoani Mwanza anafundisha moja wapo ya shule za sekondary wilayani Misungwi. mara ya Mwisho alikuwa anaongoza kampeini za kumnadi mgombea wa chama chake katika kata ya Nyampulukano Sengerema na wakaambulia kura pungufu ya 40. Siku ya mwisho alipata ajali mbaya ya gari akanusurika kifo.
Etii!!!! sijakupata vizuri hapo kwenye maandiko mekundu unamaanisha nini? Yaani unasema kuwa tangu pale mlipowakata mapanga Kirumba hamjawaona tenna. Sasa anza kuwatafuta mchana.
PILITON ni kiumbe mdogo aliyumbwa na na binadamu na kazi yake ni kutumwa. Lakini kwa kazi hii uliyotumwa umetwishwa gunia la misumari hebu achana nayo waliokutuma walishajaribu wakashindwa. Waliowachagua Wenje na Kiwia tupo,tunajua kazi tuliyowatuma na tunaridhika wanaifanya vizuriiiiiiii.UGOMVI...
nipe maelezo kidogo ili niunganishe taarifa nilizo nazo
1.mgmbea aliyeshinda ni nani, yuko kozi gani na mwaka wa ngapi???
2.mgombea aliyeshindwa (wa ccm) ni nani, yuko kozi gani na mwaka wa ngapi. Fanya hima unipe taarifa
Mkuu Ngalikihinja naona umesahau?
Nape aliwahi kuwataja Mafisadi na alitaja jina la E.N.Lowasa na Manji kuwa waliusika na ufisadi wa mikataba ya upangaji ardhi na majengo mali ya UVCCM. Kwa kuwa UFISADI ni dini ya CCM Makamba alimfuta uanachama. Alipotubu alisamehewa na kupewa u-DC Masasi...
Ninaamini katika dhamira yako isipokuwa kuna makosa madogo madogo unayofanya. Hebu kuwa na tahadhari na marafiki zako wa zamani wengi ni Virus. By the way hakuna aliye zaidi ya BAVICHA na CHADEMA.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela alihaji Zuber Mbyana ameamua kutumia vibaya jina la chadema ili kuhalalisha kuwalipa asikari polisi aliowaita ilikumlinda yeye na madiwani wa CCM kutokana na hofu waliyonayo dhidi ya wafuasi wa chadema.
Hofu hiyo inatokana na wao kushirikiana kuvunja sheria na...
Habari kutoka ILEMELA zinasema kuwa BAVICHA wamejipanga kusafisha wasaliti wote ndani ya baraza na chama kwa ujumla. Wa kwanza kushughulikiwa ni Mwenyekiti wa BAVICHA wa Wilaya SABINI RICHARD. Huyu Bw anatuhumiwa kumsindikiza Chagulani kwenda kufungua kesi dhidi ya chama, pia alimsindikiza...
Hiyo CCCCV ingelikuwa na akili kama tungeletewa na huyo Nape 'mtoto wa mwanamke' akionyesha alama alizo pata.Vinginevyo ni upuuuzi kama ule wa CCM kuwaahidi Waislamu mahakama ya kadhi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.