Wana JF,
Habari habari nilizo zipata kutoka ndani ya CHADEMA Ilemela zinasema mikakati ya mbunge kiwia kuandaa mazingira ya kushinda ubunge mwaka mwaka2015 imesababisha kung'oka kwa katibu wa wilaya aitwae Majura. Inaelezwa majura amejiuzulu baada ya kupinga mpango wa mbunge huyo kumfanya kaka yake Charles Kiwia kuwa mgombea udiwani kata ya Kayenze kwenye uchaguzi ujao.
Mkuu Pillton tupatie usahihi wa hizi taarifa.