Hivi Magufuli ulikuwa unamlilia Dr Reginald Mengi Kweli??? Wakati unatutesa, unatuua , unatuteka! Sisi watu wa Kilimanjaro tumezoea kuishi kwa kutofautiana.......hayo mambo ya Burundi yaridishe Butunfi uliko yatoa
Ukiona anajiamini, anapenda watu wake, Hana chili......hasemi semi “ mimi Ndio Rais “ hatumii hila kutafuta sifa zisizo na tija , huyo atakuwa Rais wa Wananchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.