Recent content by NYAREMA

  1. NYAREMA

    Kwa hizi albadiri nilizozishuhudia leo hakyanani tujiandaeni kwa Msiba mzito Tanzania

    Halafu tulichukulia poa. Kumbe ni hakika na athari za albadir zikawa ni hakika.
  2. NYAREMA

    Kama Wachumi Wawili Wazuri Hawawezi Kukubaliana, Kwanini Mwigulu Mchemba Adhani Anachoamini Yeye ni Sahihi?

    Duh hata kama haumpendi basi nakuomba usifananishe kifo na usingizi.
  3. NYAREMA

    Meli za kivita za Urusi zapokea kipigo cha drones kule Black sea

    Eti mada za Free thinkers hizi [emoji3][emoji3][emoji3]
  4. NYAREMA

    An all inclusive economy: Miscalculations, premature and short-term modalities, Samia and Mwigulu's credential decay in modern era

    Why should we throw punches? We needed the government which collects tax and here is the tax collecting government!
  5. NYAREMA

    Alipokufa Sokoine hapakuwepo mitandao ya kijamii lakini kuna Wanasiasa wawili walisingiziwa kuhusika. Hii tabia ilianza zamani

    Hiyo ndiyo wazungu wanaita public sentiment ambayo hutengenezwa na watu kwa maslahi yao. Wakati unahangaika kuuzima moto wa uzushi huo wao wanafanya yao.
  6. NYAREMA

    Askofu Gwajima unaanza vibaya!

    [emoji1787][emoji1787]
  7. NYAREMA

    Highly intelligent people always have these problems ,see where you fall in.

    Is this clause independent? You were supposed to comment in Swahili instead of meddling in other people's language!
  8. NYAREMA

    GE2020 Bila unafiki unamshawishije mwalimu ambaye hajaongezwa mshahara kwa miaka mitano na bado ukambambika makato ya bodi kibabe aipende CCM?

    Uko mpinzani lakini onesha adabu angalau kidogo hii ndo sababu kubwa walimu huchukia wapinzani kwa sababu ya lugha yao kwa walimu wao. Kwanza inakuwaje mpaka uwatukane walimu? Halafu mpewe nchi. Really? Naamini hamtakuwa serious!
  9. NYAREMA

    GE2020 Bila unafiki unamshawishije mwalimu ambaye hajaongezwa mshahara kwa miaka mitano na bado ukambambika makato ya bodi kibabe aipende CCM?

    Nami lazima niipigie kura CCM japo ni mwajiriwa. Hakuna mshahara umtoshao mtumishi.
  10. NYAREMA

    GE2020 Bila unafiki unamshawishije mwalimu ambaye hajaongezwa mshahara kwa miaka mitano na bado ukambambika makato ya bodi kibabe aipende CCM?

    Uko sahihi mkuu na hata hayo mateso hawajayapata walimu. Shida ni pale mtu anapotaka kutyaminisha walimu ndo watumishi wa umma wenye hali mbaya kitu ambacho si kweli. Na nashindwa kuelewa inapokuja agenda yoyote inayohusu wafanyakazi wa Umma wachangiaji wote wanakimbilia kwa walimu. Kutakuwa na...
  11. NYAREMA

    GE2020 Bila unafiki unamshawishije mwalimu ambaye hajaongezwa mshahara kwa miaka mitano na bado ukambambika makato ya bodi kibabe aipende CCM?

    Acha kututukana kijana walimu wako. Huwezi kumzidi busara mwalimu wako. Tafuta mbinu ya kushawishi na sio hii ya kuita walimu mazezeta ambao kimsingi ni wazazi wako.
  12. NYAREMA

    Tundu Lissu ni jasiri wa kipekee

    Bandiko lako kifupi yatosha kusema linachekesha
Back
Top Bottom