Recent content by nyapinyapileo

  1. N

    JamiiForums Tanzania TASAF, nakuja kwenye Usaili wenu wiki ijayo, naamini mtatenda Haki na si kupendelea

    Huku niliko kwenyewe ni Mkurugenzi,lakini nataka nirudi kwenye Agency kama TASAF ndio maana walipotangaza nafasi mwezi April niliomba,ukitaka kujua ni nafasi ya Director of Knowledge Management and Advocacy,Usaili ni tarehe 30 na 31 IFM, Dar
  2. N

    JamiiForums Tanzania TASAF, nakuja kwenye Usaili wenu wiki ijayo, naamini mtatenda Haki na si kupendelea

    Ninachotaka wawe FAIR tu,atakayefanya vizuri kwenye Interview zote mbili na apewe nafasi hivyo sio lazima niwe mimi
  3. N

    JamiiForums Tanzania TASAF, nakuja kwenye Usaili wenu wiki ijayo, naamini mtatenda Haki na si kupendelea

    Dogo acha DHARAU,nimegonga GPA kali na za Vyuo vya maana Duniani,CV imeshiba na kuvimbiwa
  4. N

    JamiiForums Tanzania TASAF, nakuja kwenye Usaili wenu wiki ijayo, naamini mtatenda Haki na si kupendelea

    Mtu mzima kama mimi SITISHIWI NYAU
  5. N

    JamiiForums Tanzania TASAF, nakuja kwenye Usaili wenu wiki ijayo, naamini mtatenda Haki na si kupendelea

    Siwatishi nawaambia ukweli,nauli kutoka Kigoma mpaka Dar ni 80,000 hivyo ni 160,000,nikijumlisha na Lodge,Chakula kwa siku tatu na mengineyo maana yake Laki Tatu yangu inaenda kutumika kwa Usaili huo,halafu wawe wana mtu wao tayari itakuwa ni uhuni,hakika wasipotenda Haki NITAWAROGA
  6. N

    JamiiForums Tanzania TASAF, nakuja kwenye Usaili wenu wiki ijayo, naamini mtatenda Haki na si kupendelea

    Wana JF Salaam, Naenda kwenye Usaili TASAF Dar es Salaam weekend hii. Usaili ni Jumatatu na Jumanne wiki ijayo(nafasi ni Ukurugenzi wa Idara moja pale TASAF). Kwa kuwa nasafiri umbali mrefu kutoka huku Kigoma mwisho wa Reli mpaka Dar, natumia gharama kubwa. Nimejiandaa vizuri, lakini nina...
  7. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kamanda wa Polisi Mstaafu na MwanaCCM mkongwe Zelothe Stephen afariki dunia

    Unaandika kama mtoto mdogo how??khaa
  8. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO Uyui, mnahujumiwa hapo kata ya Loya na mafundi uchwara!

    Kama unazifahamu Ofisi za Chama na TANESCO si uende upeleke kero zako ukiwa na ushahidi??Chama kinahujuliwa Chama kinahujuliwa,non sense
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Wakuu! Kijana wenu nahitaji Kura zenu ( VOTES )

    kuwa serious angalau kidogo
  10. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Calculator inauzwa kwa bei ya 'used'

    Ikiwa mpya inauzwa shilingi ngapi??kweli hali ngumu sana kama mpaka calculator inatangazwa kuuzwa JF
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba you are too good for nothing, lini mtaacha kufa kiume, shame

    Hakuna spirit ya upambanaji,hivi hata kumuanzisha Bocco sijui Kocha alikuwa naaana gani[emoji848]
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ndiyo niliyoyaona nje na ndani ya uwanja kwenye mchezo wa Yanga vs Azam FC

    KENGE wewe peleka UHARO wako nyuma huko
  13. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa taratibu za kukomboa mafao NSSF

    Kuwa makini na Maofisa wa NSSF watakaokwambia toa Pesa kwanza kisha ndio tutashughulikie suala lako,waambie washughulikie,Pesa ikitoka ndio utawapa,sasa jidanganye kuwapa kitu kidogo kwanza,utalia
Back
Top Bottom