Mmh! Naomba tuwe wastarabu, nitukaneni mm niliyeweka post hii, ila si kuanza kutoa maneno ya karaha kwa dhehebu la wasabato au wanaume wa kisabato.
Umalaya ni tabia ya mtu na kila dhehebu au dini kuna wanaume malaya,
kama unaona post haiko sawa, ni vizuri kushauri kwa lugha nzuri bila kuumiza...