Lupita Nyong'o and Flaviana Matata

Lupita Nyong'o and Flaviana Matata

sasa nimeelewa kwann wanawake wana hangaika kujipiga deki, yan wanaume wengi hapa mmeponda weusi na kuhusianisha na ubaya, loh! kaz kwelikweli
 
Yah inaonekana ana vitu vya ziada, maana wazungu hawashobokeagi mamburula, sijui historia yake ikoje binamu, shule aliyosoma labda, familia yake nk.

wazungu hawashobokei mamburula?
 
Back
Top Bottom