Recent content by nyanungu magena

  1. N

    Macho ya Wanaume

    Huko ni kutest mtambo ili aone kama yupo vema ill watu wasogee. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    CCM yaibomoa CHADEMA jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro

    Kwani kama anamunga mkono mpaka ajiondoe ndiyo CDM ndo iwe vizuri na kwanini aliomba kura halafu anakuja baada anasema kwa lugha nyepesi kuwa mimi nimeachia ngazi namuunga mkono rais basi kama rais anaweza kufanya yote hakuna haja ya kuwa na wasaidizi wake. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    Rais Magufuli: Siogopi kufungwa. Kama mliniteua niwatetee, nitawatetea kwa nguvu zangu juu ya majizi

    Mh analalamika sana kuhusu neno majizi kuwa nchi hii ina majizi sasa kama yeye ana vyombo vya dola halafu anakuja kulalamika kwangu mimi mtu wa hali ya chini anategema mimi ndiye nikawakamate hao majizi kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    Huyo askofu ajue sisi waumini ndiyo tunaomtunza na kama yeye hana dhambi basi ajitokeze mbele Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    Uchunguzi ufanyike kuangalia ni kiasi gani waumini wengi wameacha kwenda kanisani kwasababu tu vyongozi wa dini kufungamana na serikali Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    Mapadri wanatakiwa kusoma alama za nyakati pia watu sasa hivi wana uelewa sana kupita kiasi na vyongozi wa dini hawatakiwi kuunga hoja zinazokuwa zinatolewa na watawala maana unaweza kuwaudhii waumini wasiofungamana na huyo mtawala. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    Natamani kuona Tundu Lissu akitumikia adhabu ya kifungo jela

    Kesho jumapili nitaomba maombi kwa ajili ya TL Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    Ukabila, Ukanda na Udini ni kete ya mwisho ya CHADEMA?

    Hivi ni uongo kweli alichosema TL au na kiukweli mpaka sasa kuna ukabila au hakuna ukabila kwenye gvt yetu, taifa letu linapita katika kipindi kibaya sana maana tumepata vyongozi wanaochukulia nchi kama sehemu ya mtaji wa maisha yao na wakiamini kuwa wao ndyo waumini wa nchi hii tu. Sent using...
  9. N

    Natamani kuona Tundu Lissu akitumikia adhabu ya kifungo jela

    Sijui kwanini watawala wengi wa afrika wanakuwa na tabia hizi kuna kitu huwa nalaani sana kwanza kabisa namlaani mtu aliyetunga au kuunda katiba ya mwanzo na kuweka neno rais asishitakiwe yaani huyo mtu basi mungu wake amuangalie kiti chake pekee yake na kama yupo mpakaa Leo hii ajiulize sana...
  10. N

    Pongezi kwako Mwanasheria wa NEMC Bw. Mchali Heche

    Thom sankara Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    Ombi muhimu sana kwa ITV

    ndg waziri wa miundo mbinu je unajua kinachoendelea na ajira ambazo mameneja wako wanatangaza halafu watu hawaitwi kwenye usaili, je kunanini? kinachoendelea mbona majina hayajawahi kuwekwa gazetini kuonyesha wanahitajika kwenda kufanya interview au mnawaonea tu watu wa uhamiaji tuanomba waziri...
  12. N

    Wizara ya elimu kupitia idara ya ukaguzi wa shule imetoa nafasi za kazi

    uhamiaji ni chambo lakini ukweli ni kwamba sio uhamiaji tu waende mbali zaidi kwa mashirika kama tanapa,pspf.lapf,nssf nhif na mashirika mengi uozo upo tunaenda kufanya interview kwa kukamilisha colum,kama kweli kuna dhamira ya kweli basi uozo huo ni mwingi kwelikweli sisi watoto wa wakulima...
  13. N

    Maandamano kupinga serikali kupandisha bei ya umeme

    Watanzania shida kubwa tulionayo Ni umaskini wa fikira na kukubali kununuliwa ila kwa upande wa kigoma jamani ule Ni mtaji wa wanasiasa maana Kuna umaskini wa kutosha afu wanasalitia na haya huyo zito hapendwi poa jimboni kwake Bali pale mwandiga Tu poa serikali wajanja wameona gape la...
  14. N

    MAPENDEKEZO: DR Slaa agombee u Gavana 2015

    chaguo la kwanza yule ni rais ajae na katiba mpya na ugavana labda ni wewe.
Back
Top Bottom