COSMAS BULALA ATUHUMIWA KUANZA KAMPENI JIMBO LA KWIMBA
Kampeni za kisiasa zimepamba moto katika jimbo la Kwimba mkoani Mwanza baada ya wagombea ndani ya chama cha mapinduzi CCM kuanza kupigana vikumbo.
Watia nia mbalimbali wameanza kupita ndani ya jimbo hilo wakionyesha dalili za kulitaka...
Soma uelewe mkuu hakuna kusagiana kunguni, jamaa alikuwa mfanyakazi wa Songoro marine akaacha kazi, ila kampuni ya Songoro ikaendelea kutumia documents zake kuomba zabuni maeneo mengi tu, jamaa akafahamu akamueleza Songoro akakiri kosa lake, PPRA nao wamekiri hilo jambo.
UTAPELI UNAOFANYWA NA KAMPUNI YA SONGORO MARINE WAWEKWA HADHARANI
Kampuni ya Songoro Marine ya Ilemela jijini Mwanza inakabiliwa na tuhuma za kujipatia zabuni tatu za kujenga meli katika maeneo mbalimbali hapa nchini bila kuwa na sifa zinazohitajika kitendo ambacho kinatajwa ni cha uhujumu...
Kampuni ya Songoro Marine ya Ilemela jijini Mwanza inakabiliwa na tuhuma za kujipatia zabuni tatu za kujenga meli katika maeneo mbalimbali hapa nchini bila kuwa na sifa zinazohitajika kitendo ambacho kinatajwa ni cha uhujumu uchumi.
Kampuni hiyo inayomilikiwa na Major Songoro ni miongoni mwa...
WIZARA YA UCHUKUZI, KAMPUNI YA KICHINA MATATANI, MADENI YAWAANDAMA
WIZARA ya Uchukuzi kwa kushirikiana na kampuni ya KICHINA ya China Railway 15 Bureau Group corporation (CR15G) inatuhumiwa kuvunja mkataba na kampuni ya AQARIAN Project Solutions walioingia kujenga na upanuzi gati (kina)...
ANGELINA MABULA ATUHUMIWA KUTENGENEZA MPASUKO CCM, UBADHIRIFU WATAJWA
Mbunge wa jimbo la Ilemela mkoani Mwanza, Angelina Mabula ameingia katika vita kubwa na viongozi wenzake wa Chama cha mapinduzi ccm kutokana na kuendesha genge la vijana wahuni wanaotukana na kuanzisha fujo katika mikutano ya...
Miradi ya Meli, SGR na Maji yakwama Mwanza, pesa zinapigwa na Serikali yagoma kupeleka pesa
Miradi mikubwa mitatu ya kimkakati iliyopo jijini Mwanza iliyoanzishwa na Serikali ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufu, imekwama kutokana na ukosefu wa fedha.
Miradi iliyokwama ni pamoja...
Kanda ya ziwa sukari imeisha, msambazaji mkuu anyimwa mzigo
Hali ya upatikanaji wa sukari katika mikoa ya kanda ya ziwa ni tete, baada ya kiwanda cha Kagera kukataa kumuuzia Sukari msambazi mkuu kampuni ya V.H SHAH.
Inaelezwa Msambazi wa sukari kanda ya ziwa amenyimwa sukari na kiwanda hicho...
AMRAN BATENGA aingilia mgogoro, SHERALY amuingiza mkenge apewa ahadi uenyekiti wa bodi shule ya Thaqaafa na msikiti wa Ijumaa
Katika namna ya pekee sana leo nimeandika makala ya kipekee kuwaenzi wazee wa
kiislamu wa jiji la Mwanza, Wazee ambao maisha yao yameacha athari njema na nuru
ya uislamu...
Wafanyakazi wa kiwanda cha Nondo Sayona walipukiwa na uji wa moto
Wafanyakazi 18 wa kiwanda cha Nondo cha Sayona kilichopo Usagara wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, wamejeruhiwa na mlipuko wa moto uliotokea kiwandani hapo oktoba 9, 2023, baada ya kinu cha uji wa moto kulipuka ambapo waliokuwa...
Katibu UVCCM azuia mkutano wa vijana uliokusudia kumpongeza Rais
Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Ramadhani Omary amezuia mkutano wa chama hicho wenye lengo la kuipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongizwa na Mheshimiwa Rais Samua Suluhu...
Shekh Sherali kukifilisi kituo cha yatima Ilemela, atataka alipwe Milioni 78
Sakata la Sherali na kituo cha watoto yatima cha Ilemela Mwanza linazidi kuwatia mashakani watoto yatima wanaolelewa na kituo hicho cha Ilemela Yatima Islamic Foundation jijini Mwanza.
Mashaka makubwa kwa watoto hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.