Recent content by nyano

  1. N

    JamiiForums Tanzania Video iliyopelekea NIFFER kukamatwa

    Kwa hiyo nyie ndo mnajua ipi heshima na ipi sio heshima??
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Masuala ya ndoa kwa waislamu

    KWA HIYO NA MIMI NIKAOE BINTI WA MIAKA 6 KAMA MTUME MUHAMMAD???
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikutana na mzungu asiye na hela kwenye "Dating app"

    Watu wakuda sana. Na hawajalazimishwa kusoma huu uzi ila wanakazana kuleta mihemuko. Mtu akiona huu uzi hauelewi apite kushoto sio kuleta makasiriko ya kingese hapa.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule nyingine

    Unamkumbuka mwl KIMUNE wewe? Daah R.I.P
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

    Umeanza vizur lkn naona km una haribu ss. Acha kutuchafua watu wa kutoka Mara. Mara kuna makabila mengi ebu kuwa specific ni watu gan wanafny ivo. Usipende kutumia generalization
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu hatua za kuchukua pesa zangu NSSF

    Hii imekaaje mkuu. Tufungue macho tupo wengi wenye kuhitaji hii.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hivi wale vijana watano wa Kariakoo walipatikana?

    Wanadamu tumeumbwa kusahau.
  8. N

    JamiiForums Tanzania K Vant na tatizo la kusahau

    Sio Jack Daniel tu. Ni karibia whiskey zote.hazina hangover. Jaribu GRANT'S pia utanishukuru
  9. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi K Vant ilivyomkutanisha rafiki yangu na malaika

    Nyagi hamna kitu. Haileweshi kbs
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mwanaume gani hujawai hata kutoka nje ya nchi?

    Utoto unakusumbua. Kuna uhusiano gani katika ya kua mwanaume na kutoka nje ya nchi? Au kumiliki passport.?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Kubadilishana Materials ya Ujenzi, Kila mmoja ajenge

    It won't work coz npo mwanza
Back
Top Bottom