Recent content by Nyankuru Wankuru

  1. Nyankuru Wankuru

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuondoa umasikini Tanzania kwa miaka mitano tu. Simple and clear!

    Umepata taarifa nyeti ya kiuchumi mbona inashughulikiwa tu
  2. Nyankuru Wankuru

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuondoa umasikini Tanzania kwa miaka mitano tu. Simple and clear!

    Nani kakwambia tiss wanabase kwenye kukusanya taarifa za kisiasa?? Tisi wako vizuri kila sehemu,
  3. Nyankuru Wankuru

    JamiiForums Tanzania Mama Mzazi wa Erick Kabendera azungumzia uraia wake

    Kazi ndogo sana anayotakiwa kufanya . Kuunga juhudi za serikali yetu na sio kuunga juhudi za mabeberu .
  4. Nyankuru Wankuru

    JamiiForums Tanzania Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Kiongoz, hili linafikishwa kwa Rais moja kwa moja, hawa watumishi wa tanesco haiwezekani watuchezee akili
  5. Nyankuru Wankuru

    JamiiForums Tanzania Alen Kijazi, Dkt Agness Kijazi na sasa Eng. John Kijazi, Dah!!

    Nilikuwa naangalia kwenye mfumo Fulani wa kazi maalum nikakutana na majina 200 yanayoishia na MWITA na kuanza ( last name &first). Hawa nao ni ndugu ??????
  6. Nyankuru Wankuru

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe ni Mzigo, mtoe haraka vinginevyo abadilike

    Kazi kulaumu tu ,kazi kulaumu! Tutafika kweli?
  7. Nyankuru Wankuru

    JamiiForums Tanzania Naomba Wizara ya Nishati na TANESCO mtuweke sawa, kuunganishiwa umeme ni Sh. 27,000 au 57,000?

    Unajichanganya, ulilipa hiyo hela tanesco? Toa risiti. Njoo na facts hapa. La sivyo utakuwa umetumwa na mlengo ule wa kushoto unaochukia mradi mkubwa wa stiglaji gooji. Wana chademu utawajua tu hawafurahii mafanikio ya awamu ya 5.
  8. Nyankuru Wankuru

    JamiiForums Tanzania Developed countries must stop telling us how to live in our homeland.

    Mapori yao walivyokuwa wamayatumia tuliwaingilia kati? Wapeleke huko ujinga wao
  9. Nyankuru Wankuru

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado hatujapata Rais Mzalendo na Intellectual

    Baba yako kalifanyia nini taifa? Angepewa madaraka ya kusimamia watu mill 55 angeweza? Familia ya watoto 3 inamshinda na kwenda kulala bar ,sembuse watu 55 mill???
  10. Nyankuru Wankuru

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado hatujapata Rais Mzalendo na Intellectual

    Toa maoni kisomi , fanya ulinganishi kati ya hao uliotaja. Usikurupuke
  11. Nyankuru Wankuru

    JamiiForums Tanzania Hadithi juu ya binadam wenye maumbo makubwa

    Kule musoma alikuwepo mzee wangu alikuwa very giant, alikuwa na mguu mkubwa na kimo chake kinafika kwenye paa la nyumba za kisasa
  12. Nyankuru Wankuru

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara awatolea uvivu wanaoihujumu CCM

    Na Amiri kilagalila-Njombe Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mwita waitara amewaonya wanaccm wanaoendelea kukihujumu chama cha mapinduzi angali bado ni wanachama huku wakijua hawakitendei haki chama hicho. Waitara akiwa mkoani Njombe amesikitishwa na...
  13. Nyankuru Wankuru

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeiona tofauti ya JWTZ na majeshi mengine.

    Magereza waache kuwaonea akina karikenya Thomas Nyamboge kwa kuwachukulia karanga na sukari zao
  14. Nyankuru Wankuru

    JamiiForums Tanzania Kutoka CD za Ugaidi(Mwigulu) Sasa wanatenegenezeana Clip wenyewe

    Wenye clip wenyewe hawanazisifia itakuaje wewe mtoa Uzi uanze kuwatetea.
  15. Nyankuru Wankuru

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Katibu wa vijana wa Kakonko (CHADEMA), atekwa apigwa na kujeruhiwa vibaya sana. Akimbizwa Hospitalini

    Ofisi za usalama kuwa karibu / kwenye jengo la mkurugenzi?????? .Hii kitu bado inanipa wasiwasi kiutendaji kazi.
Back
Top Bottom