Mwita Waitara awatolea uvivu wanaoihujumu CCM

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
1,199
Reaction score
1,349
Na Amiri kilagalila-Njombe

Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mwita waitara amewaonya wanaccm wanaoendelea kukihujumu chama cha mapinduzi angali bado ni wanachama huku wakijua hawakitendei haki chama hicho.

Waitara akiwa mkoani Njombe amesikitishwa na kitendo cha baadhi ya wanachama wa aina hiyo kwa kuwa wamekuwa wakijaribu kurudisha nyuma jitihada za kuyafikia maendeleo ya chama hicho.

“Hauwezi kuwa mbunge wa chama cha mapinduzi,unaingia kwenye vikao vya ccm vya chama halafu unapinga serikali huko nje na chama chake hauwezi kuwa,ukitaka ubaki salama kama wewe na maisha yako utakufa,wenzetu ulaya huwa wanaua nenda china kafanye mambo hayo”amesema Waitara

Waitara ameongeza kuwa

“kwa hiyo huwezi kuwa mbunge wa chama cha mapinduzi,unakaa kwenye vikao vya chama,watu wanapanga mikakati halafu ukiwa mtaani unatoa yote,unatuhujumu ni kama tupo kwenye mtumbwi tunaogelea unatoboa inatakiwa tukuwahi ili uzame wewe tusizame wote ili tubaki salama”alisema Waitara

Akizungumzia upande wa watumishi wa umma waziri huyo ametoa wito kumuunga mkono rais Magufuli kutokana na juhudi kubwa anazozifanya kwa watanzania.

“kwa mtu mstaarabu anayejua uongozi maana yake nini,siwezi kukubali uteuzi nikaenda nikala kiapo,nikapewa majukumu,nikapewa na gari nikapewa na posho nikapewa na mshahara halafu nikaka kwenye vijiwe nikamtukana rais hivi unakuwa unaakili kweli,sasa watu ambao wanashangaa hivi watu wanaondolewa uongozi wewe hujui utaratibu”alisema tena Waitara
 
Mmmmh maaajabu haya asee naye anawalaumu wanaoihujumu Ccm?
 
Hizi kauli za kuua wanaoipinga CCM huyu jamaa anapenda kuzirudiarudia sana
 
Kama Nape alivyowahi kusema, Samaki hana nguvu nje ya maji, vivyo hivyo hakuna aliye na nguvu nje ya CCM.

Yeyote, kama inakuhusu:
TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Naye huyu si akae kimya tu maana Upumbavu wake umedhihirika Duniani kote. Mwanaume kukosa msimamo ni fedheha saana.
 
Mwl. alituachia magonjwa matatu tu..
ujinga
Majongwa na umasikini
Haya yametushinda kuyatatua mbaya zaidi tumeongeza gonjwa jingine.
UNAFIKI na hili gonjwa ndo baya saidi, maana ndo chanzo cha kutoyatatua yale matatu aliyotuachia Baba wa Taifa
 
Bashiru alishasema Vijana wasitafute Kick kwa Mgogoro huu
 
Na Amiri kilagalila-Njombe

Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mwita waitara amewaonya wanaccm wanaoendelea kukihujumu chama cha mapinduzi angali bado ni wanachama huku wakijua hawakitendei haki chama hicho.

Waitara akiwa mkoani Njombe amesikitishwa na kitendo cha baadhi ya wanachama wa aina hiyo kwa kuwa wamekuwa wakijaribu kurudisha nyuma jitihada za kuyafikia maendeleo ya chama hicho.

“Hauwezi kuwa mbunge wa chama cha mapinduzi,unaingia kwenye vikao vya ccm vya chama halafu unapinga serikali huko nje na chama chake hauwezi kuwa,ukitaka ubaki salama kama wewe na maisha yako utakufa,wenzetu ulaya huwa wanaua nenda china kafanye mambo hayo”amesema Waitara

Waitara ameongeza kuwa

“kwa hiyo huwezi kuwa mbunge wa chama cha mapinduzi,unakaa kwenye vikao vya chama,watu wanapanga mikakati halafu ukiwa mtaani unatoa yote,unatuhujumu ni kama tupo kwenye mtumbwi tunaogelea unatoboa inatakiwa tukuwahi ili uzame wewe tusizame wote ili tubaki salama”alisema Waitara

Akizungumzia upande wa watumishi wa umma waziri huyo ametoa wito kumuunga mkono rais Magufuli kutokana na juhudi kubwa anazozifanya kwa watanzania.

“kwa mtu mstaarabu anayejua uongozi maana yake nini,siwezi kukubali uteuzi nikaenda nikala kiapo,nikapewa majukumu,nikapewa na gari nikapewa na posho nikapewa na mshahara halafu nikaka kwenye vijiwe nikamtukana rais hivi unakuwa unaakili kweli,sasa watu ambao wanashangaa hivi watu wanaondolewa uongozi wewe hujui utaratibu”alisema tena Waitara
HAHAHAHAH wanafiki hawakuanza leo kwa Yesu walikulaga na mikate
 
Alikuwa kwenye ziara ya kichama au serikali?

Back
Top Bottom