Recent content by Nyanimweupe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nina Division 4 ya 30..Nataka kurist

    kaka nimekuelewa, kiujumla matokeo ya shule yetu haya kuwa mazuri , pia sababu iliyochangia mimi kufeli ni kupuuzia masomo kidato cha tatu na kuzidisha michezo baasi. Asante
  2. N

    JamiiForums Tanzania Man Utd vs Real Madrid - March 05, 2013: Post match feedback

    Wewe si shabiki wa MAN UNTD
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nina Division 4 ya 30..Nataka kurist

    we umeelewa nin kaka?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nina Division 4 ya 30..Nataka kurist

    kaka nashukuru maana mwenye hekima hunena yalio mema asanteh
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nina Division 4 ya 30..Nataka kurist

    nimekuelewa ngoja nirudi darasa la 6
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nina Division 4 ya 30..Nataka kurist

    Jamani kwa kweli mimi nina Division four ya point 30 hivyo familia imeamuru ni rudie mtihani. Naomba msaada ivi ufaulu unaanzia ngap kwa mtu anaye risit yani D inaanza na ngapi mpaka C, shule zipi ni bora kwa mikoa ya iringa na mbeya
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hivi binadamu akishaitwa POLICE kwa nini anageuka kuwa mnyama??

    Bangi wanazokamata 78% wanavuta hawa jamaa,
  8. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Makete waua mteja wa benki

    Jose n mpumbav kwa tunao mjua anapenda sana sifa kwanza n chapombe sasa ngoja sheria ichukue mkondo wake
  9. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Makete waua mteja wa benki

    jeshi la polisi limepoteza iman kwa wananchi
  10. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Makete waua mteja wa benki

    kaka haya ndio matatizo ya kuchukua askali kuanzia umri wa miaka 18
  11. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Makete waua mteja wa benki

    nadhan Afande alipga kinywaji
  12. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Makete waua mteja wa benki

    yan OCD hajatoa tamko lolote
  13. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Makete waua mteja wa benki

    kaka sasa nimethibitisha ni ukweli
  14. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Makete waua mteja wa benki

    Habari iliyopo hapa wilayani MAKETE ni Juu ya askari polisi kumuua mwalimu wa shule ya msingi, Taarifa zinasema kuwa mwaalimu huyo aliuliwa jana usiku mida ya 2:30 na askali walio kuwa zamu kwenye bank ya NMB aidha Jeshi la polisi halijatoa ufafanuz wowote ule bali ndugu wa marehem wameambiwa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania hili ndilo jibu la mwanafunzi wa form 4 ktk mtihani wa kiswahili akieleza maana ya mdahalo;;

    kaka/dada swali hilo limetoka katika mtihan wa mwaka gani? Na kidato cha ngap/darasa la ngapi.... Acha kutudanganya bwana
Back
Top Bottom