Recent content by Nyanijike

  1. N

    JamiiForums Tanzania TRA na polisi acha zoezi la kubadilisha leseni liwe endelevu

    Uko sawa kabisa, mi mwenyewe polisi wamenigonga tsh 20,000 ukijumlisha na elf 40 za TRA, inakuwa elf 60, mi nimedilishia huku DSM, lakini ilikuwa mwanzoni so sikupata usumbufu wowote
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mara nyingine polisi wanaonewa na kudhalilishwa na wananchi

    Tukidharirishwa raia na polisi ni sawa, ila akidharirishwa polisi, hatuna uzalendo!!! hapana hapo sikubaliani na wewe kabisa kwani matukio ya polis kudharirisha raia ni mengi mno kuliko hayo ya raia kudharirisha polisi
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa mauaji ya padre Mushi hana hatia

    Polisi bana!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Anne Makinda wajeruhi trafiki Dar

    Kama wanauwana wenyewe kwa wenyewe, mi naona poa tu, hao polis nao ni maadui wa raia!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Anne Makinda wajeruhi trafiki Dar

    Kama wanauwana wenyewe kwa wenyewe, mi naona poa tu!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Picha!Ha ha ha,eti Diamond na Obama

    Duh, we mkare!!!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kufika Mafia

    Ni Kenya, huko ndiko yanakotokea makundi ya MUNGIKI na MAFIOSO!, swali jingine please?
  8. N

    JamiiForums Tanzania wahindi, sports betting inaharibu wanafunzi!

    Hata mimi inanikera sana hii kitu!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Polisi watumia nguvu kuzuia maiti kusafirishwa Geita.

    ...kazi ipo, poleni wafiwa.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Askari wanaswa kwa ujambazi

    ...matokeo yake ni kuzalisha majambazi!
  11. N

    JamiiForums Tanzania kiumbe gani unayemuogopa zaidi hapa duniani?

    Dr. SLAA
Back
Top Bottom