KennedyMmari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 979
- 188
Undecarpet news (samahani magreat thinkers) sina uhakika ila kuna trafiki ameletwa hapa muhimbili amegongwa na kuumia vibaya, na inasemekana alikuwa anaongoza msafara wa Anne makinda(not comfirmed news) nitawapa updates nikicomfirm
==== updates =====
amevunjika miguu na mikono,yupo hapa EMD muhimbili...watatumaliza hawa
*confirmed*
Ni kweli kabisa,nimecomfirm kwa kumuona trafiki mwenyewe...kaumia sana
==== updates =====
amevunjika miguu na mikono,yupo hapa EMD muhimbili...watatumaliza hawa
*confirmed*
Ni kweli kabisa,nimecomfirm kwa kumuona trafiki mwenyewe...kaumia sana