Ukifanya kazi mwez mzima bila kutega wala kuumwa na kupokea simu 180nakuendelea kwa siku na bila kuwa na warnings na talk time iwe 2:30dk bac utajikuta unafikisha laki nne kasoro lakin ukiumwa siku moja tu jua unafikisha 3kasoro nimeacha kaz mwez ulipita full kugandamizwa
Unaonekana una wivu wa kijinga kuna kuajiriwa na kujiajiri na ndo mana zikawepo kumpuni na mashirika ili watu wafanye kaz na yy kachagua kuajiriwa.... Ukumbuke kujiajiri hakutokei tu km huna mtaji... Kuwa na u shauri mzur km huwez kaa kimya sio kuleta wivu wa kishamba
ukisema katoka nje ya ndoa unakosea sana kwan gadner hana uwezo wa kuzaa mbona ye anae mtoto wa mkewe wa kwanza,hakuna kinachoshindikana chini ya jua wewe hata kwa uchawi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.