Recent content by Nyangi Marwa Chacha

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tumuunge mkoono Muhongo, kwa maendeleo endelevu ya jimbo la Musoma vijijini

    Wewe fala kweli kweli ulisikia ameiba pesa au
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Acha unafiki ndugu yangu amemtuma wapi
  3. N

    JamiiForums Tanzania Gazeti Jamhuri: Ridhiwani ndie mtoto wa kigogo kwenye list ya tatu; sasa nae kuchunguzwa

    Muache unafiki kwani kama kuna kosa lisishugulikiwe? Nyie nao na unafiki wenu hadi aibu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa Yanga na Ukristo vyote havihusiki...jinasue nyinyi wenyewe wahusika.

    Nikweli kabisa ndugu wanajifanya kunificha kwenye nyuma ya vyeo vyao
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kuepuka kuonekana una double standard, Rais msimamishe Makonda amekosa moral authority

    Wewe hufai kabisa kama ulivyo mnafiki mtoa post
  6. N

    JamiiForums Tanzania Gwajima na Manji wananikumbusha yaliyotokea nchini Jamaica

    Ndugu unamanisha kuwa klabu ya Yanga ndiyo iliyomtuma Manji afanye biashara hiyo au
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nasema Hivi, Bunge Lina Mapapa Wa Madawa ya Kulevya, Na Mimi Niitwe Kamati Ya Maadili Ya Bunge,

    Wabunge hawa wanaboa sana sijawahi kuona watu wanafiki kama hawa waheshimiwa tangia nianze kuangalia bunge kila mara kwa mara huwa wanasema kuwa tunawajua wanaojihusisha na madawa ya kulevya mbona mbaka leo hawajatajwa kwa nini mkuu wa mkoa wa Dar mheshimiwa Makonda awataje yeye ambao anawajua...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu Makonda amedharau au kulikashifu bunge hizi ni chuki lakini watashindwa

    Tatizo nchi hii tumejaa wanafiki sana kweli jana kosa gani Makonda amesema mimi nahisi wabunge wameamua tu kumkomalia Makonda ili asiendelee kutaja majina ya wauza unga namuomba rais wetu kipenzi cha Tanzania awe makini na hawa wanafiki
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwa uamuzi huu wa RC na DC kuitwa kujitetea kwenye mhimili wa bunge Mtemi Chenge kakosea

    Kadhalau nini kwani si kweli kuwa wabunge huwa wanalala au kwa vile wameazwa kutajwa na wabunge wanaamua kumvunja ngumu? Tuna viongozi wanafiki sana mimi sijaona Makonda kakosea wapi na hapaswi kwenda kuhojiwa bungeni
  10. N

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Mkuu mbona unalalamika kama unajua wataje uache unafiki wako
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa ubabe huu wa Magufuli hata akituibia pesa kuna wakumuuliza?

    Kumbe hujui hata kuhoji kwa kheri
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mzee kaenda Shinyanga na mvua ya mawe yanyesha

    Kweli kabisa umemaliza kiongozi
Back
Top Bottom