Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Jamani magufuli sio malaika. Hata yeye anaweza akapitiwa na shetani akapiga pesa za kodi za wananchi. Je hii kama ikitokea kuna wakumuuliza kwa hali hii ya kisiasa inayoendelea?
.
Mi nimeuliza tu. Kama yupo anayeweza kumuhoji anyooshe mkono.
Tulizoea CAG kudukua madudu ya serikal. Mwaka huu ajiandaye kutumbuliwa kabla hajapeleka hata report kufanyiwa editing na mkulu.