Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,874
- 3,306
Kuna Mambo Mawili Muhimu:
MOJA :
DAR YOUNG AFRICANS (YANGA)
⚽
Hii ni timu ya Soka na haijaorodheshwa kwenye Listi ya Makonda....hivyo kuhamisha Tuhuma binafsi zinazohusu jina "MANJI" na kuweka jina "YANGA" ni sanaa ya kutaka mtaji wa Supporters katika vita na tuhuma binafsi...wanaotengeneza Kachumbari hii wamepotea mchana jua kali.
Kutumia Mgongo wa supporters au Wanachama wa Yanga ktk sakata la Drugs huo ni utovu wa nidhamu, hivi je kesho akifumaniwa kiongozi wa Kimondo Fc pale Guest House ina maana ni KIMONDO kimefumaniwa? ...hapa kila mtu abebe Zigo lake...Otherwise Tuhuma ziihusishe Yanga moja kwa moja as a team na sio mtu binafsi ndani ya Yanga....Timu hii ilishiriki ktk kuhamasisha Ukombozi na Uhuru wa nchi hii...Ule Uhuru wa Akili na Afya...Afya Bora sio Madawa ya Kulevya!...nani ata-support?....Kuna Watu niliona wamevaa Jezi wanaosha matairi ya Gari ya Manji Pale Central...wale sikujua ni Vichaa ama nini? kwani ni heri wangevaa hata wangeenda Central na Magaguro na sio jezi za timu.
MBILI:
UKRISTO :
⛪
Hapa kwenye Mambo ya kiimani sitaeleza sana ila GWAJIMA anaposema Ukristo umeshambuliwa hapa anatafuta Backup,...hapa asichukue Tuhuma zake akazihusisha na Ukristo....Kila dhehebu ndani ya Ukristo lina Misingi yake, yapo madhehebu ambayo ukiingia katika Kashfa yoyote ndani ya jamii basi unaitwa na Baraza la dhehebu unahojiwa na hata kuwajibishwa....sasa niulize Gwajima ana baraza ka kumuita? anahojiwa na nani?...Kanisa lile ni mali yake binafsi na hakuna yeyote wa kumuuliza chochote, kumuhoji wala kumwajibisha hata kama atapatwa na Tuhuma au Kashfa milioni 8 waumini watasema Amen Baba!....Gwajima atambue Tuhuma za Madawa ni zake Binafsi na Kanisa lake na sio ajumlishe Wakristo kwa ujumla.
Mwisho wa yote Wote hawa wawili hawajatiwa hatiani, hizi ni tuhuma tu ila YANGA na UKRISTO viachwe Separately.