Mimi sio Mchaga ila nimetemebe mikoa karibu yote ya Tz nakiri sijawahi kuona vijiji vilivyo endelea km Kilmanjaro kuanzia umeme, maji Safi, barabara, shule nk ni ni nadra kuona nyumba ya Nyasi/tope Kilmanjaro, migombani unaweza kukuta vitofa vya maana mno Kongole sana kwao
Wakati wa Nyerere walisema anawapendelea wakatoliki ikabidi afanye uchunguzi kwn baraza la mawaziri akakuta baraza la mawaziri wapo wakatoliki 2 tu George Kahama ambaye alikuwa mkatoliki ila alikuwa ana wake 2 kinyume na imani ya kikristo kuwa na mke mmoja
Mashali alikuwa m2 poa sana mm nilikuwa nakutana nae sana maeneo ya Meridian M'nyamala na kama humjui ilikuwa sio rahisi kuja km ni boxer hakuwa na ubabe jinsi watu wanavyoelezea
Wasenge hao Singidani na Kindai zinaufanya mji wa Sgd kuwa na muonekano/mvuto wa kipekee bila kujali ni ziwa, Bwawa au kidimbwi Tena wa Shy na Kahama mshukuru mradi wa wa maji toka ziwa Victoria coz huko kwenu ukame umetamalaki Sgd municipal maji kukatika ni ndoto, maji ni mwanzo wa mwaka hadi...
Pimbi ww mnadharau sana utafikiri kwn km ulaya Bk yenyewe juzi tumeona nyumba zilivyochoka ambazo kwa Sgd Manispaa huwezi zikuta, haya mtajie mshikaji jengo lenye lift shy akapande, na wanaosema Sgd Kuna vumbi nadhani hawajawahi kwenda Geita
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.