Ufukwe wa ziwa Kindai Singida kuwa kitovu cha hoteli za kitalii baada ya serikali kuhamia Dodoma

Ila yote kwa yote
Singida ni mji mzuri sana aisee kwa kuishi,na life span ya wanasingida ipo juu sana.wazee wengi ila wananguvu bado na wanajituma sana.

fursa za pesa ndio tatizo,inabidi wengi wafanye biashara za kutoka,lakini kwa vile kuna plan ya kuufanya iwe miongoni mwa mikoa ya kati yenye kuungwa na Dodoma,hope itakuja ku pick vizuri sana.
 
Yaan mnafrahia lift ya kwanza 2017!!??wakati pengine lift zimezagaa toka miaka ya 80!Kifupi singida bado sana kulinganisha na manispaa nyingine cha maana sahivi ni hiyo stand mpya mnayojenga.
Acha Uhuni, nchi hii Dar yenyewe lift za kuhesabu!
 
Kama ndio mawazo yako hayo sina hana yakubishana na ww sababu ata nikikupa mifano utabisha bado.labda mikoa mipya ya kanda ya ziwa ndo unaweza kusema hayo lakini sio shy,Mara,kagera
Hio Lify ya shinyanga iko wapi aisee,Kwanza jengo gani la kuweka lift shinyanga ambalo singida halipo??/ Niko hapa shy eti nitajie niende kupanda.
 
Singida hakuna majengo ya maana.Hata tugorofa twenyewe tudogo dogo tu twakuhesabu.Ebu niambie ata jengo moja tu lenye vyumba 400-500 singida?
 
Siwezi kubishana na wewe make unaonekana ata Tanzania bado hujatembea
Shida yako umetembea ila ulikuwa unatembea na train! hata hivyo huo wa kwako ni upinzani tu na tutaukabili kwa vitendo. Walikuwepo wengi wenye mawazo kama yako kuhusu SGD, lakini kwa sasa ni mashuhuda weazuri.
 
Ngoja nisibishane nawewe sana make ntaonekana mjinga bure kubishana namtu asieijua Tanzania. Mimi hakuna mkoa ambao sijafika Tanzania hii tena nakukaa kabisa
 
We nshomile nini?? Mbona unakumbilia misifa ya kijinga! haya huko kufika kote Tanzania mi kunanihusu nini??
jambo la maana tunakukaribisha kwa uwekezaji SGD! hizo mbwembwe za kutembea sana acha, hapa shinyanga penyewe kuna ghorofa saiz ipi ambalo halipo SGD??
 
Poa nilinganishie jengo lolote singida lenye saizi sawa najengo la ccm mkoa au mahakama kuu
 
We nshomile nini?? Mbona unakumbilia misifa ya kijinga! haya huko kufika kote Tanzania mi kunanihusu nini??
jambo la maana tunakukaribisha kwa uwekezaji SGD! hizo mbwembwe za kutembea sana acha, hapa shinyanga penyewe kuna ghorofa saiz ipi ambalo halipo SGD??
Singida uwezi linganisha na shy kwa nyanja yoyote ile kuanzia viwanda mpaka maendeleo,lakini hongereni tu kwa stand mpya mnayojenga hiyo ndio yamaana tu kwa singida.
Kikubwa singida bado sana uwezi kulinganisha na manispaa yoyote hapa Tanzania. Kuhusu sifa za kinshomire bahati mbaya Mimi sio MTU wakupenda sifa sana wewe ataufatilie vizuri michango yangu umu jf.
 
Siwezi kubishana na wewe make unaonekana ata Tanzania bado hujatembea
Pimbi ww mnadharau sana utafikiri kwn km ulaya Bk yenyewe juzi tumeona nyumba zilivyochoka ambazo kwa Sgd Manispaa huwezi zikuta, haya mtajie mshikaji jengo lenye lift shy akapande, na wanaosema Sgd Kuna vumbi nadhani hawajawahi kwenda Geita
 
Sina muda wakubishana mimi.Hayo yote unayosema nimeshaeleza kwenye comment hapo juu.
 
Pimbi ww mnadharau sana utafikiri kwn km ulaya Bk yenyewe juzi tumeona nyumba zilivyochoka ambazo kwa Sgd Manispaa huwezi zikuta, haya mtajie mshikaji jengo lenye lift shy akapande, na wanaosema Sgd Kuna vumbi nadhani hawajawahi kwenda Geita
Mi Niliamua kuachana na wajinga walipita pita hapa na pale na kudhani wanaelewa mambo ya nchi hii. Njaa ya BK sasa iko wazi lakini ukikutana nao mtaani kama vile wako UK!
Hawa ndio waliokuwa wanashirikiana na wapuuzi wa miaka ile kuandika mabaya ya SGD, waka publicise ukame, njaa, umaskini na sasa wanaaibika.
 
Shida ni kuwa Singida imewekwa mtu kati na miji kama Dodoma, Arusha even Mwanza... Na kibaya zaidi hakuna resources nyingi za kufanya kuwe na mwingiliano mkubwa Wa watu.....hvyo kutoboa itakuwa ngumu sana...but kama mtoa mada alivyodokeza uwepo Wa makao makuu Dodoma utaboost mji Wa Singida....
 
Back
Top Bottom