Huu nao ni upumbavu katika ubora wake,HIVI WATENDAJI WA SERIKALI WANFANYE NN ILI ROHO ZENU ZILIZIKE? mara ooooh mkuu wa mkoa ni observer tuuuu!!!unataka hayo anayosimamia afanye nani???diwani, meya mkurugenzi wa jj , mhandisi au nani?? Afanye kazi ili roho zenu zilizike. POOR THINKING MY...
Ww jamaa unanifrahishaga sana na mawazo yako, yaani siku zote hueleweki upo upande gani!!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
SAWA, WENGI TUNATARAJIA ONGEZEKO KWENYE MAKATO. HEBU ELEZEA HIYO 38. 88% INATOKA WAPI KAMA KAMA SERIKALI IMEELEZA ITAKATA 10% KWENYE KILA MUAMALA +VAT AMBAYO NI 18%. KAMA WW SIYO MUONGO?
Wanabodi mimi kijana 30 yrs. Nilimaliza o-level 2008 nikapata division 4 ya 28. Sasa nilikuwa natamani kusoma certificate ya kilimo na kuendelea.
Tatizo sijajua sifa zinazotakiwa maana kwenye cheti changu kuna F mbili za biology na kiswahili.
Hataki kwa sababu nilikaa kmya kwa miezi 2 bila kumtafuta, ww akawa amekata shauri la kuachana na ametafuta huko huko mwanaume mwingine bila kutafuta soln ya tatizo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.