Natamani kusoma chuo cha kilimo

Apr 6, 2016
33
5
Wanabodi mimi kijana 30 yrs. Nilimaliza o-level 2008 nikapata division 4 ya 28. Sasa nilikuwa natamani kusoma certificate ya kilimo na kuendelea.

Tatizo sijajua sifa zinazotakiwa maana kwenye cheti changu kuna F mbili za biology na kiswahili.
 
Sitaki kukukatisha tamaa. Jaribu lakini wasiwasi wangu ni hiyo F ya biologia. Biology ni somo la msingi kwa mtu anaetaka kwenda kilimo au fani yeyote ya kilimo.
 
Sitaki kukukatisha tamaa. Jaribu lakini wasiwasi wangu ni hiyo F ya biologia. Biology ni somo la msingi kwa mtu anaetaka kwenda kilimo au fani yeyote ya kilimo.
Ok, mkuu tofauti na KILIMO nnaweza apply course zipi nzuri kulingana na matokeo yangu
 
jaribu kuomba husikate tamaa uenda ukachukuliwa maana cku hivi vyuo vingi vimekua vinatanya biashara kudaili wanafunzi hela yako tu mdau husiofu jaribu
 
Ok, mkuu tofauti na KILIMO nnaweza apply course zipi nzuri kulingana na matokeo yangu

Sorry, comment yangu ilikuwa based kwenye ufahamu wangu wa mambo ya kilimo ambayo yanahitaji uelewa wa biology. Labda upitie maelekezo ya NACTE (http://nacte.go.tz/)kuhusu mahitaji ya program tofauti ili uweze kuchagua ipi itakufaa. Ukiipata NACTE angalia kando kulia QUICK LINKS chagua Central Admission System hapo utabofya GUIDEBOOKS then browse.

Sifa za kilimo ni pass nne na tatu ziwe kati ya masomo ya physics, chemistry, biology,geography na agriculture na pass inamaana kuanzia d.
 
Back
Top Bottom