Habari leo: Mbowe, Makonda waongea, na mifugo ikatwe kodi!

Kweli Nipashe kweli mipasho. Tangu zamani Mzee Mengi ameanza kutumikia wezi. 2015 ndo akajionyesha.

Pia anajua anachofanya hakina mashiko kwa sababu anatetea watafuta nchi.

Chadema punguza kuwapa hela waandishi wa habari. Wanafanya taifa lionekane halina wasomi.
 
Kuna kosa gani kusema "Misifa ya Makonda"? Sii sifa zikiwa nyingi zinakuwa misifa? Na si anekuwa akipewa sifa nyingi aka misifa na Rais, mashehe na wachungaji nk?

Amesifiwa sana kuwezesha walimu kusafiri bure na kwa raha, anekamata sukari kwenye custom bonded warehouse za TRA (kitendo ambacho hakijawahi tokea duniani), ameweza kuyawajibisha mabenki yaliyokuwa yanawalipa wafanyakazi hewa kwa kuwapa siku kadhaa wamueleze walifunguaje acc kwao nk nk.

Kama yeye katafsiri misifa ni kujitafutia sifa basi labda ndio lengo lake lakini NIPASHE ukilisoma kwa makini halikumaanisha hivyo.

Tunamshukuru kwa kutufumbua macho, hayo mambo ya barabara sijui nini hizo ni porojo hiyo ni kazi za halmashauri za jiji yeye ni observer tuu. Unless hajui wajibu wa RC katika mkoa ni nini
 
viwanda vije tu kila mtu apate kipato chake halali mana izi njaa na posho za wanasiasa zinatupeleka vibaya tunashindwa hata kufikiria kesho
 
Uzuri na ubaya wa habari zao unaendana na uzito wa bahasha wanazopewa
Walaaa, vocha tu ya 10000 inatosha kumchafua mtu. Unajua wanahabari ni kama wameshika mpini na raia tumeshika makali , muda wowote wanatukata, wakijiskia tu, unakatwa. Hatari sana.
 
Kuna kosa gani kusema "Misifa ya Makonda"? Sii sifa zikiwa nyingi zinakuwa misifa? Na si anekuwa akipewa sifa nyingi aka misifa na Rais, mashehe na wachungaji nk?

Amesifiwa sana kuwezesha walimu kusafiri bure na kwa raha, anekamata sukari kwenye custom bonded warehouse za TRA (kitendo ambacho hakijawahi tokea duniani), ameweza kuyawajibisha mabenki yaliyokuwa yanawalipa wafanyakazi hewa kwa kuwapa siku kadhaa wamueleze walifunguaje acc kwao nk nk.

Kama yeye katafsiri misifa ni kujitafutia sifa basi labda ndio lengo lake lakini NIPASHE ukilisoma kwa makini halikumaanisha hivyo.

Tunamshukuru kwa kutufumbua macho, hayo mambo ya barabara sijui nini hizo ni porojo hiyo ni kazi za halmashauri za jiji yeye ni observer tuu. Unless hajui wajibu wa RC katika mkoa ni nini
Hata mjinga anakuona wewe mjinga zaidi. Huna tofauti na PANYA, unajifanya kung'ata na kupuliza.
 
kuna bandiko la kiingereza ni makala ya jenerali Ulimwengu nendeni mkapinge kule kwa hoja acheni maswala yenu ya vijembe na majungu mwambie na makonda pia,vijana waccm upambe utawauwa
 
Tehe tehe tehe tehe. Godfrey Monyo wa ITV. Hivi huyu kada wa CHADEMA kapotelea wapi! Au yeye ni wa kipindi cha Uchaguzi tu?

Duh, mimi bado namkumbuka SPENCER LAMECK...huyu dogo aliyekuwa kwenye msafara wa LOWASSA likuwa na mbwebwe sana, lakini naona siku hizi ni kama amebadilika vile, nadhani ilikuwa ni kazi tu....
 
Kuna kosa gani kusema "Misifa ya Makonda"? Sii sifa zikiwa nyingi zinakuwa misifa? Na si anekuwa akipewa sifa nyingi aka misifa na Rais, mashehe na wachungaji nk?

Amesifiwa sana kuwezesha walimu kusafiri bure na kwa raha, anekamata sukari kwenye custom bonded warehouse za TRA (kitendo ambacho hakijawahi tokea duniani), ameweza kuyawajibisha mabenki yaliyokuwa yanawalipa wafanyakazi hewa kwa kuwapa siku kadhaa wamueleze walifunguaje acc kwao nk nk.

Kama yeye katafsiri misifa ni kujitafutia sifa basi labda ndio lengo lake lakini NIPASHE ukilisoma kwa makini halikumaanisha hivyo.

Tunamshukuru kwa kutufumbua macho, hayo mambo ya barabara sijui nini hizo ni porojo hiyo ni kazi za halmashauri za jiji yeye ni observer tuu. Unless hajui wajibu wa RC katika mkoa ni nini
Huu nao ni upumbavu katika ubora wake,HIVI WATENDAJI WA SERIKALI WANFANYE NN ILI ROHO ZENU ZILIZIKE? mara ooooh mkuu wa mkoa ni observer tuuuu!!!unataka hayo anayosimamia afanye nani???diwani, meya mkurugenzi wa jj , mhandisi au nani?? Afanye kazi ili roho zenu zilizike. POOR THINKING MY SHALLOW FRIEND
 
Back
Top Bottom