Recent content by nyanda madirisha

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri nimuoe huyu singo maza

    Maji hayasahau ubaridi kaka Kila kheri
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mnaokaa nyumba za kupanga (shared) fahamu hili

    Maendeleo yanatafsiriwa kwa vitu hivi!!? Na unauita ushindani wa kimaendeleo?!!
  3. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwimbaji nguli wa muziki wa Country, Dolly Parton amefariki dunia

    Msalimie sana mzee wetu na rafiki yako bwana kenny rogers
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa kwenye Mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri "Mshangazi"? Nini kilikusukuma, ulifaidika/ulijutia nini kuwa nae? Check story yangu

    Dah aunt isabella dar kigoma hiyo safari ya kikazi na nakuja na masaa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Je Kuna ukweli kwenye hili ya kubwa " wanawake wa kichagga ni wazuri sana kabla hujawaoa ila ukishawaoa so wazuri Tena"?

    Ndo maana unakuta wako serious sana na suala la cheti cha ndoa kumbe kimeo eeeh?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

    Picha linaanza mpenzi kaniaga anaenda kwa dada yake(kwamba anaumwa na mume wake yuko safariji so akamasaidie kwa siku 2,3) nikamruhusu bila shida mida ya saa 9 alasiri binti akaondoka. Usiku kama saa 3 nikapiga akakata akaniandikia ujumbe kuwa wametembelewa na majirani so siyo ungwana kuongea...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    Kama uko pwani nicheki nakupa bure mwanangu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kama hamna pesa kwanini mnalazimisha harusi za gharama?

    inakwaza kwelinkweli napokea simu mfululizo kutoka kwa jamaa yangu anataka 200000 kama mchango wangu kwake Nimeuliza budget ya harusi yake anasema milion 9 wewe una shingapi ana m 2 yaan 7 m zitoke kwa watu wengne
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna "Mimi" Wala "Wewe": Spiritual awakening(non-duality)

    Goja nianze na hii
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna "Mimi" Wala "Wewe": Spiritual awakening(non-duality)

    Mkuu Naomba unifahamaishe vizuri hii na kam kuna vitabu vya kusoma naomba unicheki na PM
  11. N

    JamiiForums Tanzania Elevation

    Vijana tusome kwa sauti ya pamoja tena kwa nguvu sana kisha tuelewe na tuishi na hili tena kwa usirous mno
  12. N

    JamiiForums Tanzania Bashite kufunga namba za Serikali kwenye magari binafsi, hii imekaaje?

    Tight whip hiyo 504 boys dah hatari sana
  13. N

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa watu wa Kanda Ya Ziwa na Tabora "Wasukuma Thread"

    Anaitwa nani nikamtafute mkuu?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa watu wa Kanda Ya Ziwa na Tabora "Wasukuma Thread"

    Ngwananyanza ni mtala upi? Nsusi,ngika,nzubha au mmanga?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa watu wa Kanda Ya Ziwa na Tabora "Wasukuma Thread"

    Mimi msukuma mwenzenu ninashida na zile nyimbo za zamani za kisukuma Malenga kama .tagala,mhembo,mgote,basu,nkuli,ngw'anagandila,masasi,inaga,myeye,sumbi,mwanikome kwa mwenye nazo anipm tuyajenge
Back
Top Bottom