Recent content by nyamwinuka

  1. N

    Nini solution ya matiti yasiyo ya kawaida kwa mwanaume?

    Kwa wakati huu ni jambo la kawaida tu jiamini toa hofu si makubwa yakutisha sana Mtoto wa kaja angu miaka 17 wa kiume yameanguka kabisa..vyakula tunavyokula vinachangia sana..
  2. N

    Je, kuna madhara mtiu kukaa mda mrefu pasipo kufanya mapenzi?

    Nakubaliana na wewe kabisa baadhi ya hayo yalishanikuta.. Hasira.. Ndoto za mapenzi.. Na kutafuta kitu mbadala km pombe nk..
  3. N

    Mume anapokuwa kimeo kwa mahousegirl

    Rafiki hizi ndoa majanga... Ila kwa sasa nimeleta MTU mzima watoto watatu kawaacha kwa bibi nimemuleza kila kitu akiakua shauri yake atapigwa mimba ya NNE.. Namlipa Mara tatu ya mishahara ya mabeki tatu ya kawaida ili aweze kuwasaidia wanae... Ni mama anaejitambua na anajituma sana na...
  4. N

    Mume anapokuwa kimeo kwa mahousegirl

    Ni nishazoea kila Dada husband anapitia mbaya zaidi hachagui ndg jamaa na marafiki..nimebadilisha mpk nimechoka nilichoamua mdada akija tu namwambia hali halisi akiamua kufanya wafanye tu. Nimechoka na hilo... Kwa upande wangu nimeidhinisha
  5. N

    Mrejesho: Nimeshatembea na yule house girl

    Kwakweli ni ujinga unasaliti ndoa, hatua mkeo akijua huwezi kuuona sanasana utamtiua akipata mimba huwezi kuilea utamtelekeza utasahau km alikukatia mauno...we ni jamii ya huyo shetani ndio mana umefata nyayo zake
  6. N

    Njia ya maisha yangu ilipofungwa ghafla

    Mimi mwenyewe limenisaidia sana.. Bahati mbaya mmiliki alishafariki
  7. N

    Njia ya maisha yangu ilipofungwa ghafla

    Dah... Familia nyingi zinapita kwenye misuko suko ya hatari... Poleni wote ambao wazazi wenu walipitia hayo... Binafsi mama yangu alishawahi kupigwa mpk mimba ikaharibika.. Mama aligeuka NGOMA ya baba... Ila nashukuru yeye aliamua kurudi kwao kabla hatari haijamkuta... Ndoa zinamambho
  8. N

    Kwa hii kashfa, Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) atajisafishaje?

    Nenda kawe kapate taarifa zake tukio lenyewe limetokea jana.. Hadharani ni rahisi sana kuupata ukweli
  9. N

    Ndoa chungu, ndugu wamezidi, nishauri nifanyeje?

    Mdogo wangu naomba uni pm kama hutojali ili nikupe simu tuongee hii ni hatari
  10. N

    Shule ya msingi ya Asisi karibu na Kandoto sekondari; kama una mtoto hapo soma hii na chukua hatua

    Kuliko kuwapa Hawa wa dada wa kazi wanawatesa wanaingiza wanaume ndani wanafanya yao watoto wanawake na huyo aliesema masista wanawakoa mwongo nimelala sana hapo shule na Hawa watoto... Labda angesema mamatron wanaolala nao ila nalo sina uhakika yeye.. Hizi habari za kuambiwa na wewe utakuja...
  11. N

    Shule ya msingi ya Asisi karibu na Kandoto sekondari; kama una mtoto hapo soma hii na chukua hatua

    Huyu katumwa sio bure mwanangu kamaliza pale na bahati nzuri nimelala sana pale shule kila nilipokuwa naenda... Mwongo mkubwa... Acha tabia za ajabu we kwa Muda mfupi uliwezaje kuyajua hayo...
  12. N

    Mume wangu hajishughulishi na familia, namfanyia kila kitu, nimechoka

    Yaani huo ni ujinga nimeumia sana.. Siku zote ibada njema huanzia nyumbani.. Ni hii yote ni haya makanisa ya kitapeli yanayoibuka kila siku.. Yameteka akili za watu mpk hawajitambui ni ujinga huo
Back
Top Bottom