Bado ni balehe hiyo inasumbua kijana , 22yrs bado dogo sana!!Nimeshavuka miaka 20 na nipo kwenye hii hali ni mda sasa umepita tangu nilipoanza kubalee hadi Leo na miaka 22
Bado ni balehe hiyo inasumbua kijana , 22yrs bado dogo sana!!Nimeshavuka miaka 20 na nipo kwenye hii hali ni mda sasa umepita tangu nilipoanza kubalee hadi Leo na miaka 22
Kwa wakati huu ni jambo la kawaida tu jiamini toa hofu si makubwa yakutisha sana Mtoto wa kaja angu miaka 17 wa kiume yameanguka kabisa..vyakula tunavyokula vinachangia sana..Mbona yako vzr tu mkuu yanavutia ila we wasiwasi tu
Usiumize kichwa mkuu hiyo ni kawaida kwenye umri huo, me mwenyewe yalikuwepo yameshapotea now, usianze kutafuta midawa ikaja kukuongezea matatizoNimeshavuka miaka 20 na nipo kwenye hii hali ni mda sasa umepita tangu nilipoanza kubalee hadi Leo na miaka 22
Namimi nna tatizo kama la jamaa, nilienda kwenye vipimo vya hormone nikaambiwa estrogen iko juu sana, ila testosterone iko normal nilipewa dawa ila hazijanipa matokeoMkuu utakua na hormonal imbalance embu nenda kwa dokta akuchek fasta
Sent using Jamii Forums mobile app