Recent content by Nyamuma iliyobaki

  1. Nyamuma iliyobaki

    JamiiForums Tanzania Ungependa kiongozi gani aje Jukwaani kutoa majibu na ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayoendelea nchini?

    Kuanzia mwenyekiti wa mtaa mpaka mwisho wa vyeo huko,Nani anaaminika na wananchi ?
  2. Nyamuma iliyobaki

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja madarakani kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ungemuondoa nani?

    Mawaziri unawaonea tu, wahusika mbona unawakwepa,Acha unafiki !!!
  3. Nyamuma iliyobaki

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa upunguze jambo au uongeze jambo kwenye katiba yetu utachagua lipi?

    Zote tunajua kuwa katiba yetu inamapungufu mengi. lakini sasa wewe kama mtanzania mzalendo ungepewa nafasi ya kuifanyia marekebisho ungetamani jambo gani jipya liwemo na lipi liondolewe ili Sisi kama Taifa tuwe na katiba nzuri kama nchi zingine. Mimi nikipata nafasi hiyo nafuta tasisi ya kuzuia...
  4. Nyamuma iliyobaki

    JamiiForums Tanzania Baada kupiga show na mtoto wa kike ni ishara gani utaona ujue kweli umemfikisha kunakotakiwa

    Mara nyingi tunakutana na watoto wa kike majumbani mwetu au hata katika nyumba za kulala wageni hivi utajuaje kweli umemfikisha inavotakiwa
  5. Nyamuma iliyobaki

    JamiiForums Tanzania Njia iliyotumika na chadema kupinga mkataba si mzuri

    hapa chawa wako kazini !!!!!! kumbuka posho zao ni kodi zetu, dawa hapa ni kutojibu
  6. Nyamuma iliyobaki

    JamiiForums Tanzania Wanaume, ni kitu gani unavutiwa nacho unapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza?

    Kama anaunguruma no napenda sauti laini nzuri
  7. Nyamuma iliyobaki

    JamiiForums Tanzania Wanaume, ni kitu gani unavutiwa nacho unapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza?

    Ahaaa! Jimny bubu ntampendaje sasa.
  8. Nyamuma iliyobaki

    JamiiForums Tanzania Wanaume, ni kitu gani unavutiwa nacho unapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza?

    Binafsi navutiwa na sauti nzuri laini.
  9. Nyamuma iliyobaki

    JamiiForums Tanzania Kwanini biashara yako haikui? Jifunze Jinsi kampuni hii ilivyokuza mtaji kufikia mabilioni ya pesa

    Hamna lolote hapa,unataka utuuzie matangopori wewe, jipange tena.
Back
Top Bottom