Mchezo huu ni bahati nasibu na uko kisheria wamesajiriwa kihalali. Ni biashara na wanalipa kodi, kucheza sio lazima na ni wengi waliwe wapate faida na nyingine kidogo wairudishe kwa watu kwa mfumo wa kushinda. Achia ngazi tu ndugu yangu kuliko kuendelea ku bet utaliwa mpaka ushangae.
Inawezekana Mkuu wa Nchi hajapata taarifa hizi, akisikia atawashughulikia wanaokuzungusha ikiwa hawana sababu ya msingi. Endelea kutoa kilio utafanikiwa siku moja.
Duh hii mada haijapata jibu sahihi. Anayefahamu sheria au kanuni au mwongozo juu ya Salute ndiye atakuwa msemakweli otherwise ni kubwabwaja tu. Na hii inatoa picha kuwa huko majeshini jambo hili halifundishwi ki ufasaha ndio maana wote tumeshindwa hata wanajeshi na polisi hawana uhakika. Lakini...
Binadamu anabadilika akiamua, mi nasema anaweza badilika na huyo si wa kwanza shuhuda zipo nyingi wewe fanya kweli kama umedhamilia kaka. Hakuna soko la kupata mke Duniani hapa, popote wawezapata mke.
Kabwigwa usidanganye watanzania eti Rwanda life is so cheap, nasema big no, hali ya maisha ngumu sana ni bora kukomaa hapa bongo. Mi pia nimeenda sana Rwanda, Burundi, Uganda, kenya, malawi na zambia. Ni afadhali uganda.
Tahmeed wana ofisi wapi jamani kama sio kwenda pale ubungo na kudakwa na wapiga debe, nenda kilimanjaro hapo shekilango kapande luxury nauli sh 36,000.
Pascal Mayala kachambua mada vizuri sana, tuache siasa. Brother Mayala usikatishwe tamaa na hao, ukialikwa na Star tv kwenye hicho kipindi nenda kifua mbele usaidie kutuelimisha watanzania, uko vizuri aisee maana kutoa ufafanuzi in public tena live kwenye Tv au Radio sio mchezo ni wachache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.