Weather = hali ya hewaShughuli. Kwa hiyo hata kama mtu ana taaluma zake na moyo wa kufundisha inabidi kunyenyekea kwanza Serikali.
Weather they like it or not.
Wether = kama
Weather = hali ya hewaShughuli. Kwa hiyo hata kama mtu ana taaluma zake na moyo wa kufundisha inabidi kunyenyekea kwanza Serikali.
Weather they like it or not.
Kwani zamani Mapenzi hayakuwepo?Sasa hivi si chuo tu hata elimu ya chini kama sekondari imeshuka kutokana na vijana MAPENZI yamechukua nafasi kubwa katika bongo zao na kusahau wajibu wao...
Weather = hali ya hewa (ya siku kwa siku)Weather = hali ya hewa
Wether = kama
♂️
♂️
♂️
♂️
♂️
♂️
♂️
♂️
♂️
♂️Nondo anahusika hapa!Miaka ya nyuma chuo hiki kilikuwa kikisifika hadi kuingia 10 bora
Mwaka huu kimekuwa cha 36 kati ya vyuo 200.
Ukiondoa Nairobi university na american university in Cairo, vingine vyote ni kutoka SOUTH AFRIKA kwenye 10 bora.
Top 200 Universities in Africa | 2018 African University Ranking
Dodoma cha 65, SUA 67,Muhimbili 123.

Dodoma wako shalo sana mkuu,labda wanawakilisha kanda ya katiNow day mkombozi na muwakilishi aliyebaki nchini na anayetolewa macho yote kwenye upande wa elimu ni UNIVERSITY OF DODOMA
ardhi haimo kwenye vyuo bora 200afrika.Kukosekana kwa Ardhi University kumenifanya niitilie shaka hiyo orodha, it simply can't be correct.
Hiiiiiiiiiiii........wakati watu wanataka watambuliwe kwa kufanya ugunduziKama chuo kinahangaika na watoa taarifa za nyufa za majengo yake na kuwasimamisha wanafunzi kwa maelekezo ya walioko juu huo ubora utatokea kwenye nini
Wakati wenzao wanafanya tafiti za kitaaluma wao wapo busy kuchunguza nani anampinga na kumkosoa Rais wamfukuze. Chuo chenyewe ndio mtaji wa wanasiasa wa hovyo waliokosa misimamo.
Kama Kabudi, Mpango, Kitila, Muhongo, Luoga, Maboko, Mgaya, Ndalichako, Tulia....njoo kwa wahitimu wake Rais, Mwigulu, Lipumba, Chenge wanatokea hapo, ni chizi tu ndio anaweza kukiweka top 3
Eti UDOM chuo cha kata, wapi mzumbe, SUA, SAUT, TUMAIN, bado udsm itakojozwa tuu.Chuo cha UD, baada ya kuvunjwa vunjwa na kutoa matawi mengi kimepoteza uwezo wa kushika nafasi zake za juu katika rankings hizo. Sio kwamba ubora wake wa kitaaluma umepungua. La hasha.
UD ya zamani ilikuwa inajumuisha colleges nyingi kama vile Ardhi, Muhimbili, CoET, Mkwawa, DUCE nk.