Recent content by nyamtengwa

  1. nyamtengwa

    UMAR Ibn Al-Khattab na Paul (SAUL wa Tarso): Mashujaa wa imani mbili Kinzani...

    Hawa watu wanatofautiana, kama ifuatavyo. Ukiristo wa sasa alieuanzisha paulo(sauli) ni kinyume na mafundisho ya Yessu. Lakini Ummar aliusambaza uislamu ule ule alioutoa kwa mtume Muhammad
  2. nyamtengwa

    Jua athari za jina lako katika mapenzi

    Mimi nilikuwa na mpenzi wangu jina lake linaanzia Z na la kwangu linaanzia M mbona hatukudumu? Ufafanuzi wakitaalamu tafadhali, kwani hii ni elimu kama ulivyo sema, hivyo ni vyema majibu yako yawe ya kielimu pia.
  3. nyamtengwa

    Jinsi ya kujua kama umemfikisha kweli au anakuibia na kukushika masikio kwa kelele za kimahaba.

    Mhhh...! Ama kweli dunia ina mambo kama wasemavyo watupoli
  4. nyamtengwa

    Live Updates: Kuandama kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    الله أكبر اللهم أهله علينا بالأمن والإيمان والسلامة والإسلام
  5. nyamtengwa

    Viwanda Hivi Vinapatikana Wapi?

    Jamani samahanini naihitaji kufahamu majina ya hivyo viwanda, Sehemu vilipo na vinajihusisha na uzalishaji wa bidhaa gani ili na mimi nipeleke maombi..
  6. nyamtengwa

    Kuna tatizo, mungu anaanza kukosea sasa

    Hawa waliopo sasa si manabii watokao kwa mungu, bali wanatoka kwa shetani, manabii wa uongo. Mungu alieumba mbingu na ardhi pamoja na kila kitu kilichomo mbinguni, ardhini na sehemu iliyopo kati ya mbingu na ardhi hawezi kukosea. Zoezi la mungu kuleta manabii duniani lilikwishafungwa kwa...
  7. nyamtengwa

    Mwigulu Nchemba: Dhambi hatuwezi kuipa jina zuri na baadae tukaitukuza

    We jamaa kumbe hujamuelewa kabisa Mwigulu, nakuomba uitazame mara tatu mfululizo na uwehadhiri na anachokisema neno hadi neno utaelewa. Kuziangalia vyema sheria zinazo kinzanana maana yake nini?
  8. nyamtengwa

    OPEN YOUR EYES

    When governments deliver the lies and excuses for their grotesque actions most people are ready to accept them because they want to believe the lies are true. They call it `HUMANITY` This kind of humanity is like a husband who knows his wife is being unfaithful, but is desperately trying to...
  9. nyamtengwa

    BIASHARA HURIA

    Kwa anaehitaji t-shirts za CCM anichek kupitia namba yangu ya simu +255 2015 2020. Kumbuka bei ni poa sana, tumia namba hiyo tu basi usije tapeliwa
Back
Top Bottom