Kwa Historia za siasa za Kenya itachukua muda mrefu sana kupata raisi kutoka kabila la Kijaruo. Kenyata kiuhalisia na kiintelejensia hakua upande wa Raila kwa Dhati. Kumsaport Raila ilikua ni njia Bora na Salama kuhakikisha Raila haingii madalakani kwa namna yoyote tena bila kuleta Vita na...
Za kusababisha tusilipe Tozo Au za kulipa Tozo. Maombi kwa Mungu hapa hayahusiki. Ni Tulipe au Tupaze Sauti na Vitendo ili kuishinkiza Serikali Tusilipe hizi Tozo za ziada.
Mi nadhani tukuombee wewe Ufe kabisa. Nyinyi ndio mnaofanya wote tuonekane Wapumbavu mbele za Mungu. Mkiisha watu wenye mitazamo kama nyinyi. Mambo yatarekebika.
Mungu ni kila kitu lakini sio kila kitu lazima utufanyie.
Kuna mambo mengi tu katupa uwezo wa kuyatenda na yakafanyika, kumbuka sisi pia ni mfano wa Mungu mwenyewe.
Hata yeye anatushangaa tunapomlilia hata kwa mambo tunayoyamudu tena kwa dhati. Anatuona wapumbavu na Ataamulu watawala watutese...
Usitishe watu. Unaweza kua Tajiri na bado mbinguni ukatoboa na unaweza kua masikini na mbinguni usitoboe. Kua Masikini au Tajiri sio kigezo cha kukutobolesha Mbinguni. Tena masikini ana nafasi finyu ya kutoboa kwa Mungu. Akiri ya masikini walio wengi ni Chuki, Nyongo, Fitina, Uongo, roho mbaya...
Kufanya kazi ni lazima na ndio itakua hivyo Maisha yote. Hii ni Mungu mwenyewe kaiweka hivyo tena kasisitiza Na Asiyefanya Kazi Na Asile. Kimsingi wewe leo hutakiwi kula kwani hujafanya kazi. Kazi ni Lazima, hapa itatofautiana tu kati ya kazi ya kuajiliwa au kujiajiri. ya kutumia Nguvu zaidi au...
Mtoa mada ana point. Hii ndivyo ilivyo kwa sehemu kubwa. Mfano Ukerewe imetoa Wasomi wengi tena wengine ni maprofessor na wengine wana nafasi kubwa kabisa tena za kisiasa, wengeweza kutumia nafasi zao na Ushawishi wao kuiendeleza Ukerewe (UK) lakini wanaogopa.
Kule ukijipelekapeleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.