Recent content by Nyamsenga

  1. N

    Ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu

    Inategemea eneo ndg ulilopo, lakini kwa makadirio hayo iko kawaida
  2. N

    Natembea na mke wa mtu, mume wake kanionya mara 3

    Tutakuja kwenye matanga usijali endeleeni tu
  3. N

    Siku ya kesho nina safari ya kwenda Bujumbura ~Burundi, dua na maombi yenu nifike salama

    Burundi kwa ujumla 1. Tembea na kitambulisho chako wakati wote maana wanaume ni lazima uwe na kitambulisho wakati wote kule, 2. Gharama za maisha sio kubwa kivile, chenji hela zako mapema kiasi ili usisumbuke ingawa pia wanakubali malipo ya Tshs Machache niliyoyaona mimi huko last year...
  4. N

    Sabaya afikishwa Mahakamani, Mawakili wake wasema Sabaya ni mgonjwa, yaahirishwa hadi Juni 20, 2022

    Watu wanarahisisha kama vile wamempima na kuona anachoumwa, amesema anaumwa apewe nafasi ahudumiwe na madaktari,
  5. N

    Membe: Hutosikia tena Mtu ametekwa au kaokotwa kwenye kiroba

    Wale vijana 5 wa krismass washapatikana?
  6. N

    Wasichana wa kazi wa Malawi wateka nafasi za kazi za ndani Tanzania

    Wageni hawazuiliwi kuwepo nchini kikazi, lakini kwa kazi za namna hii sheria za nchi zinazingatiwa kweli??? Wana vibali vya kazi ?? Usalama wa nchi ni kazi ya kila mwananchi, unaweza ajiri mmalawi mshamba tu kumbe wewe ndio mshamba maana anaweza akawa secret agent Tuwajibike sote kulinda nchi yetu
  7. N

    Huyu mzee kanifikirisha sana!

    Dunia ndivyo ilivyo, watu wakupiga mpunga wake
  8. N

    Mikoa ambayo Rais Samia atapata upinzani mkubwa 2025

    Wewe unaishi Mwanza ipi hiyo??
  9. N

    Walimu Shule ya Sekondari Butimba na kashfa ya kujihusisha kimapenzi na Wanafunzi

    Vip angekuwa mtoto wako angekuwa amenusurika ama amebakwa kabisa ungesema sentence hii??? Kama huna mtoto huwezi kuelewa uchungu wake,ni sawa tu swala la mtu kufiwa,ambaye hajafiwa huchukilia poa tu ilakwamtu alyefiwa anaelewa hali halisi,
  10. N

    Arusha: Vinara waliokamatwa na gunia 15 za Mirungi wachomolewa usiku wa manane Polisi

    Acha wapige hela, na vijana wa taifa hili wawe mateja kabisa, ukweli tulilogwa kabisa sio bure
  11. N

    Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

    Hapo unabakije kwa mfano, ni mbio za marathon kabisa
  12. N

    Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

    Duu mwana umenikumbusha mbali sana, Kuna siku nikadandia Moro to Dar kipindi mabasi yalikuwa yanalala Moro, kunguni na mende walikuwa ndio wenyeji wa abiria
Back
Top Bottom