Recent content by Nyampua

  1. N

    JamiiForums Tanzania Korea kaskazini yaionya Marekani kuhusu kusogelea pwani yake

    Ongeeni yote ila msiache kutuombea watanzania wenzenu tuliopo Kwa Trump. Hali hii haitabiriki Trump mtu wa hasira mapank nae mtu wa hasira ukichanganya wote wawili ha tuponi. Mtuombee
  2. N

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka meli za kivita katika rasi ya Korea

    Very soon utaona haipo mbali!!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhama Marekani kwenda Australia au Canada

    Nikifanikiwa nitarudi hapa kuwapa feedback na njia nitakayofanikiwa kuitumia
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhama Marekani kwenda Australia au Canada

    Sina criminal record yoyote,sijawahi kushikwa na police wala sijawahi kupata ticket. Nafanya kazi kama kawaida sijawahi kukosa kulipa kodi. Kinachonifanya nifikirie kuhama nchi ni nipate nafasi ya kurudi nyumbani kuwaona wazazi na kurudi.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhama Marekani kwenda Australia au Canada

    Nilikuja kama mwanafunzi,sijawahi kupata green card sababu wamedenai kesi yangu mara tatu,nilioa ili kupata makaratasi miaka sita iliyopita ila sijafanikiwa na pia sijamtalaka mwanamke niliemuoa! Hapana sitajafikiria kurudi Tanzania Kwa sasa ila natafuta njia ambayo itanisaidia kupata makaratasi...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhama Marekani kwenda Australia au Canada

    Poleni na majukumu wanajamii, mimi ni mtanzania ninaishi Marekani Kwa Muda wa miaka 10 sasa! Nimejaribu makaratasi Kwa njia ya kuoa wamenikatalia Mara tatu (sikubadilisha mwanamke) sasa nimeona naendelea kupata shida ya makaratasi lengo na nia ya kutafuta haya makaratasi ni niweze kwenda...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mzazi wa Ben Saanane kukagua maiti iliyowekwa kwenye kiroba KCMC Moshi

    Alipotea kimazingara au?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu: Jinsi ya kupata pesa za masharti

    Usikate tamaa mapema hata hao wenye nazo walianzia unapoanzia wewe
Back
Top Bottom