Recent content by nyamilungu makungu

  1. nyamilungu makungu

    Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto alalamikia Jaji Mkuu wa Kenya Kuvaa Hereni

    na kuoa vibinti vya miaka 13 ni udhaifu wa dini gani? suala hili la herein hata haliendani na masuala ya dini zilizoletwa na wazungu na waarabu(wakoloni) ni suala la uafrika ni mila za baadhi yetu...sasa tatizo liko wapi
  2. nyamilungu makungu

    Kijana aliyemtusi Rais, Isaac Emily ahukumiwa jela miaka 3 au kulipa faini

    mihemuko ya watendaji wanaotaka vyeo wapo wengi sana wanaomtukana raisi na wananchi kwa kutotekeleza majukumu yao ,ufisadi na wizi lakini wanapewa mifagio kufagia hospitali ama kweli mpaka simba atakapoweza kuandika historia itaandikwa na mwindaji.....
  3. nyamilungu makungu

    Waziri wa Ulinzi wa Korea Kaskazini auawa kwa kosa la kusinzia

    Kichekesho tanzania wanakula kiapo na hizo hizo biblia alafu ushetani umejaa....dini ni uzushi tu
  4. nyamilungu makungu

    Hotuba ya Rais Kikwete ya Mwisho wa mwezi Julai, 2014

    Kumbe unajua kua kapewa? Mwehu kamili wewe Au unakaa karibu na altare unalamba matapishi Ya dokta bahasha manake unajitoa ufahamu
  5. nyamilungu makungu

    Official: Malaysian investigators conclude missing airliner hijacked!

    uongooo kazi Ya corporate dogs hao...sasa sijui wanafanya nini nyuma Ya pazia.....the whole thing is a house of cards
  6. nyamilungu makungu

    Mhe. Sugu Kutunukiwa Phd Ya Heshima Tar. 28/12/2013

    Maswala ya mtu binafsi aachiwe yeye mwenyewe kwahyo ata kama anapiga punyeto utamwandika hapa bwana upeo wa mbilikimo
  7. nyamilungu makungu

    Prof. Muhongo: Watanzania ni wavivu wa kufikiri, wavivu wa kusoma na washamba katika uwekezaji

    Na watanzania walioenda shule hawajaelimika,wanasaliti taaluma zao ndo maana mfumo mzima umeoza.si maaskofu,waalimu,mawaziri,makonda,wanafunzi nakadhalika wote ni mazao ya mfumo uozo!!!!!!!
  8. nyamilungu makungu

    Kikwete vs Lissu, naomba tujikumbushe ya nyuma!

    ujinga una ukoo arabuni utanyongwa.........
  9. nyamilungu makungu

    Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

    ha,haaaa kaimbe taarabu hili jukwaa la fikra pevu...inasikitisha jinsi unavyojitoa ufahamu!!
  10. nyamilungu makungu

    Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

    teh teh we jamaa ni kiazi wa chichieeeeee..... .daima hua mnajadili pumba
  11. nyamilungu makungu

    Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    hapa adui sio uislam wala ukristo adui mkubwa ni serikali mavi ya chichiem
  12. nyamilungu makungu

    IGP Mwema ameibiwa upanga wa dhahabu wa kilo tatu

    aurudishe upanga mbona wahasibu hua wanasaidia polisi kukitokea wizi? tanzania my ass
  13. nyamilungu makungu

    Joyce Ndalichako: Clouds FM ilimpa promo kijana aliyendika matusi kwenye mtihani wa Kidato cha Nne

    nini sababu ya walimu kutofundisha na mitaala mibovu? nadhani tatizo ni serikali mbovu
Back
Top Bottom