Recent content by nyamihela

  1. nyamihela

    JamiiForums Tanzania Nani mkali kati ya hawa

    WA1;Sikumoja nilitaka kutoka out na mke wangu nikampigia cm akapokea hakusema halooo na mie nikauchuna hadi crediti zikaisha. wa2;aah we cha mtoto tu mimim kuna day nilirudi home ucku nikagonga mlango mke wangu akanifungulia lkn hakusema karibu mmewangu nikasimama mlangoni hadi asubuhi kisha...
  2. nyamihela

    JamiiForums Tanzania jaza nafasi iliyoachwa wazi

    we ukop fitfit kweli au ndezi
  3. nyamihela

    JamiiForums Tanzania haki za msingi za binadamu

    Haki za msingi za binadamu ni zipi? na kama zikivunjwa natakiwa kuchukua hatua zipi na sehemu gani? haki hizi zimeanza lini na zinapatikana ibara ipi katika katiba?
  4. nyamihela

    JamiiForums Tanzania Sisi Bado Tuko Kwenye Mchakato??????

    kawaida tunajitahidi kupanga kufelii
  5. nyamihela

    JamiiForums Tanzania nampenda akiwa mbali

    najihisi kuwa na mahaba ya dhati akiwa mbali na mimi ila najihisi kumchoka mda mfupi baada ya kuwa nae
Back
Top Bottom