nampenda akiwa mbali

nyamihela

Member
Mar 15, 2012
5
0
najihisi kuwa na mahaba ya dhati akiwa mbali na mimi ila najihisi kumchoka mda mfupi baada ya kuwa nae
 
pole sana ila hua inatokeaga ivo jaribuni kuwa mnabadilisha badilisha mazingira ya kufanyia mapenzi na kupumzikia sio kila siku mufanye hayohayo lazima kuchokana kuweko
 
Mie kumchoka sijui itakua lini mungu asinijalie nadhani sababu nampenda sanaa kuliko yeye anavyonipenda, jaribu kufanya vitu tofauti kama mambo ya wakubwa sio kila siku iwe chumbani tuu,badilisha sehemu za matembezi na pia ongeza mapenzi.
 
Huna mapenzi ya kweli.mtu ukimpenda unataman 24hrs mume pamoja hata km sometimes kutakuwa na ugomvi bt huwezi kumkosa.
 
Back
Top Bottom