Recent content by Nyambu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tunapokea kero ambazo ungependa ziwasilishwe bungeni na wabunge wa CHADEMA

    Polisi wasitumike katika siasa na kuegemea upande wa chama chochote wanatia haibu na wanadharaulika na itafika kipindi polisi watashindwa kuishi uraiani na familia zao wajalibu kuona mbali
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nape: Jitegemee Trading Company ni mali ya CCM, lakini...

    Tatizo la Nape kwenye hili umejikanyaga sana,mala chadema mala mafisadi naomba tueleweshe hao mafisadi niwa ccm au nao niwa chadema?acha kukurupuka mtauwana wewnyewe kwa wenyewe na kuvuana ngozi mpaka mkome.au unaongelea waliomvua mwakyebe ngozi?lakini hao siyo magaidi
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mh. Pinda A Town

    Unauliza majibu?Lukuvi hakuwepo akatoe tamko na uko?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Suleimani Kova kutojitambua hata kidogo

    Waliishaambiwa ukitaka kudanganya usimuhusishe Kova, hajui uongo analazimishwa na CCM
  5. N

    JamiiForums Tanzania Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    Habari za kwenye kanga hazitakuletea maendeleo,kama unataka ushauri kawafuate wahusika wapo ambao ni ben na zitto.wao wamekataa wewe unataka nini km vipi tengeneza na wewe move urushe yutube
  6. N

    JamiiForums Tanzania Makada wa CCM kata ya Hai wahukumiwa kwa kosa la kuchana bendera ya CHADEMA

    Na Lage sialikuwepo anagombania mlingoti?au aliwatosa baada ya kutetewa na naibu spika bungeni kuwa hakuwepo lakini picha ikawaumbua.
  7. N

    JamiiForums Tanzania CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

    Aliyesa ya Lusinde katoa vielelezo sasa tatizo likowapi na wewe ukitoa vielelezo?alafu swala la fani ya mtu nadhani siyo tatizo ila tatizo ni uchagiaji hoja,kwani mchemba hajasoma mbona anaongea utumbo mwanzo mwisho?Vick kamata ni mcheza ngumi? mbona mziki wa sugu unawatoa povu?yule mganga wa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    Kwani pamoja na kutaka kuchinja wananunua nyama kwani si geita ilidoda?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Maendeleo katika jamii

    Mh sisi kuweza kwetu ni kukubali kukatwa kodi kuwapa watawala na wao watutimizie matakwa yetu,hakuna cha pamoja tusidanganyane wao watatue matatizo maana kodi wanazo siyo kuwa matajiri wakishakua wanasiasa
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais lazima uende kasi?

    Mimi nadhani ni misifa tu maana hakuna mwenye mpango wa kugonga au kufanya lolote wakati ana walinzi,umefika muda sasa waangalie usalama wao na waaskali pia wanaowapitisha watawauwa wote kisa misifa ambayo haina maana,nimeona hata magereza wameanza huo ujinga
  11. N

    JamiiForums Tanzania Majonzi CHADEMA

    Atapona Mungu ni mwema, ngoja nimwambie Nape aende akapige naye picha
  12. N

    JamiiForums Tanzania Salma Kikwete Cheo chake ni kipi kikatiba?

    Katika maisha yako ulisha muona mama maria nyerere,mama mkapa au mke wa mwinyi wanapitishwa na msafara askali wanaloa barabarani na wakati mwingine anaenda saloon,Tanzania imebaki masalia siyo linchi tena
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera ITV, Super Tv Channel no 1 Tanzania

    Mbona mnasahau inayotumia kodi zetu TBC??????:A S 39:
  14. N

    JamiiForums Tanzania Chris Lukosi aelezea sababu zilizomfanya arudi CCM

    Sasa wewe muda wote unalea wale wazee unataka akuone muda gani wakati hao wazee ujawalisha kwanza?na ulipokuja ulifikia kwa nani maana inavyoelekea huna ndugu huku Tanzania.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Nchimbi anapothibitisha madai ya Mbunge Lema, sasa ni wazi nchi yetu inaelekea kubaya sana.

    Kama huna la kuchangia nyamaza,sasa hapo porojo ziko wapi kwa uelewa wako mdogo,usitake akili ndogo itawale kubwa,ukweli unabaki pale pale jeshi limeoza na hapo nikama amegusa kidogo maana vituoni walishageuka miungu watu.walishajiweka kwenye chama tawala wanajua hawafanywi chochote na...
Back
Top Bottom