Recent content by nyamboto1

  1. N

    Ajira

    Sifa zawaombaji waliosalia niwawe wahitimu wa kidato channe, while izo professionals nikwawenye diploma n degree.. Bila shaka umeelewa mkuu.
  2. N

    Ajira

    Game super market wametoa nafasi za kazi nafasi ya manager 2, mwasibu 2 , supervisor 2 , wauzaji wa kawaida 30 , managers , mwasibu na supervisor vigezo ni diploma au degree nafasi zilizobaki vigezo ni kidato cha nne, wanapatikana mlimani city, quality center benjamini p.o box 255575 Barua...
  3. N

    "Dark City" siyo Morogoro tu: Mliozaa mkiwa vyuoni/shuleni fuatilieni watoto wenu

    Dark city nyingine ni yawachina walioacha copy zao walipokuwa wanajenga uwanja wataifa.. Unakuta mtoto nimchina mweusi lol.
  4. N

    Natafuta kazi...

    Ninandugu yangu jinsia ya kike, anadegree ya social protection, anatafuta kazi yupo mwanza.. Tafadhali msaada wakuu.
  5. N

    Pdidy shopping center:50%discount

    Pole sana mkuu.... Mwenyenzi Mungu atamuafu mgonjwa, inshaalah... Back to b.ness Vikoi bei ngapi?
  6. N

    Ukatili tena:Hausigeli achomwa na pasi na kung'atwa na meno kwa mwaka mzima.

    Kwao tabora, na muajiri wake nibinamu wa mamaake kabisa... Mshahara alikuwa anatumiwa mama kijijini then binti anapewa simu aongee nae huku boss wake akiwa pembeni marufuku kusema ninapigwa or nanyanyaswa. Baada ya mwaka mamaake akamwambia asitume tena hela, itunzwe akirudi kijijini atanunua...
  7. N

    Ukatili kwa watoto: Kichanga chaokotwa kwenye shimo, chafariki muda mchache baada ya kuokolewa

    Oooh God leo tena!! Jana kaliokotwa kengine huko kawe, watoto walikuwa wanacheza mpira ukaangukia kwenye plastic bag yenye mtoto, tena mama alivyokatili alimfunga mdomo kwaplasta... Imenifanya nisilale hii picha
  8. N

    Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

    Wala hujakosea, he is evil... Sijui kwanini watu hawaoni
  9. N

    Kwa wanunuaji wa dhahabu

    Hahaha.... Mie kipini changu cha gold
  10. N

    Unyanyasaji wa kutisha kwa mtoto Nasra mkoani Morogoro: Aishi kwny box kwa miaka 4!

    Yupo tena nimfanyakazi waserikali anafanya ded morogoro then mume wa huyo mama anaulizwa Kwanini hakutoa taarifa kwakitendo chamkewe anajibu huyo mtoto anihusu mimi Sio ndugu yangu.. Kweli mtu mzima anajibu hivyo, Huyu baba kama anawatoto atakuwa ni mzalishaji sio mzazi.. Ukatili dhidi ya...
  11. N

    Viatu....

    Nipo dar Mpendwa karibu...
  12. N

    Msaada...

    Wanajamvi Naomba mawasiliano ya chuo chautumishi Tabora.. website yao haifunguki..
Back
Top Bottom