Recent content by nyambinga

  1. nyambinga

    John, stuka au utaachwa solemba pale Ubungo mataa!

    Ataambiwa zote mbili zimeibiwa.
  2. nyambinga

    John, stuka au utaachwa solemba pale Ubungo mataa!

    Asa si mpaka wakosee... Time ndo hii, achukue remote mchana kweupee co et ad battery zifail.... Atafeli yeye sasa... Chezea Vasco ww, hv haukusikia kile kitegemezi kilivodhihirisha kuwa remote wataiacha miaka 200 mbele? Hapo ad yeye kajipigia mahesabu na wazawa wake. Mwenzako nje kajifunza...
  3. nyambinga

    Barabara mpya ya Morogoro (STRABAG) inavunjwa

    Natafuta kitufe cha kulike sikioni.... Ile barabara wametufadhili kwa kutukopesha..... Na kwa kuwa ile ni Bank bac mkopo wake una masharti..... Huwez jua, lbd km kitu mlichokubaliana hakijawa mutarudia na deni liongezeke ad akili zikae sawa...
  4. nyambinga

    Kwa kauli ya Zitto, Dr. Tulia hana sifa

    Kwa akili wanazotumia wale jamaa laiti kama wangeziwekeza kwenye maendeleo basi tungekuwa kama Dubai leo hii.
  5. nyambinga

    UKAWA wabadili gia angani, Rais Magufuli kutohutubia bunge

    Umenena mkuu..... Umbea tu ingawa kuna watu wanaathirika moja kwa moja.
  6. nyambinga

    TCU yaanza kuwatoza ada ya Sh. 20,000 wanafunzi

    We ungekuwa ushawai hata kulipa ada ya chekechea kwa pesa yako hata usingesema hayo..... Pesa bila kujua inaenda kufanya kazi gani ya msingi kwa mtoaji inauma bwana, hata kama ni buku. Suala la kutokea hizo gharama halina uhusiano na elimu bure..... Kwani ina uhusiano na ada iyo...
  7. nyambinga

    Ni lini Magufuli ataenda kujitambulisha kwa nchi wahisani?

    Nyerere mwenyewe alijifanya mgumu mwishowe akasanda... Ila jamani cku iz kuna fb, WhatsApp, emails, telephones, Skype na namna kibao za kuwasiliana...... Atumie tu WiFi ya mjengoni kwa uthibitisho wa mabalozi wa sehemu husika kutembeza bakuli..... Tanzania bila kuomba inawezekana ila baada ya...
  8. nyambinga

    Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    Kweli watu munaona mbali.... Huu ndio uchambuzi wa kisiasa hasa ingawa sio lazima hayo mambo yatokee kwa 7bu hakuna nabii zama hizi.... Nimependa uchambuzi huu ingawa mambo yanaweza kuwa kinyume Mh. Prezda akiatuka... Nashauri awe anapitia JF, kuna ma-Lincoln humu.
Back
Top Bottom