Recent content by NYAMASHEKI

  1. NYAMASHEKI

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume, huu ujasiri mnautoaga wapi?

    Mmmmh!
  2. NYAMASHEKI

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa cheti cha kidato cha Nne (CSEE)

    Ndo hivo kaka!! Ila nishawasiliana na Necta, wamenitumia form ya maelezo namna ya kufanya.
  3. NYAMASHEKI

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa cheti cha kidato cha Nne (CSEE)

    Poa mkuu
  4. NYAMASHEKI

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa cheti cha kidato cha Nne (CSEE)

    Asante Kwa ushauri mkuu!!
  5. NYAMASHEKI

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa cheti cha kidato cha Nne (CSEE)

    Duuh! Kwa maana hiyo sasa Kwa mfumo wa elimu wa kitanzania; mimi sijasoma elimu ya secondary? So Sina uthibisho sasa.
  6. NYAMASHEKI

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa cheti cha kidato cha Nne (CSEE)

    Habari Wana jukwaa! Mwenzenu nimepotelewa na CHETI CHA KIDATO CHA NNE (2012), nafanyaje Ili nipate kingine, au Kuna taratibu gani za kufuata. Ushauri tafadhali
  7. NYAMASHEKI

    JamiiForums Tanzania Siku ya kina Mama leo tuzidi kuwaombea Mama zetu.

    Ahsante Bi-mkubwa,,,Mungu akupe Afya njema richa ya Ugumu wa maisha unaopitia kwa sasa..
  8. NYAMASHEKI

    JamiiForums Tanzania Unapewa vikosi hivi viwili na Kim wa north Korea kwamba lazima urudi na kombe utachagua kikosi gani hapo

    Jaman almost Wachezaj weng wa Squdra A,,wengi wetu hatukuweza kuona Fire lao enzi wakiwika,Binfsi I was too young,,So, lazima nichague kile nincho thibitisha kwa Macho yangu,ila siyo Nadharia ya kusmuliwaaaaaaa
  9. NYAMASHEKI

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

    Et NECTA wametangaza matokeo ya kdt ch nne Jaman??
  10. NYAMASHEKI

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daa kuna Kamkeka nimeka2pia midamida kama match 5,,Nne zisha tick,,but ya tano naona 1st half isha chapwa 3:0,,,So cjui kama ntawin wadau,,,,,inatwa Rio ave team yenyewe yaan ,,mpaka Kero et
  11. NYAMASHEKI

    JamiiForums Tanzania Kuna mwanaume anatafuta mtu wa kuoa akakosa?

    Binafs ata Mie natafuta Jiko till now,,,Miaka 20-23,,,,,,
Back
Top Bottom