Siku ya kina Mama leo tuzidi kuwaombea Mama zetu.

Notorious thug

JF-Expert Member
Dec 29, 2021
2,817
10,594
Leo tarhe 8/5/2022 ni siku ya kina Mama dunia Notorious thug namshukuru Mama yangu kwa kunileta dunia. Asante Mama nipo kwenye vita kubwa ya maisha na maisha niliyoyachagua ni DO or DIE ipo siku utafurahia matunda yangu. Mungu wabariki Mama zetu na waliotangulia wape pumziko jema ๐Ÿ™

mothers-day-happy-mothers-day.gif
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ subiri nikutafutie picha ya mtoto wa Depal
Kwa hisani ya google, au mtoto wa jirani...

Na uweke cheti cha kuzaliwa kabisa... tangazo la clinic na kadi yake...
 
Back
Top Bottom