Recent content by NYAMALABANDO

  1. NYAMALABANDO

    JamiiForums Tanzania Zitto Zuberi Kabwe: Uteuzi wa Mama Salma Kikwete ni kama teuzi nyingine, ana haki kikatiba

    Tuungee facts basi kama na wewe unahoja itoe
  2. NYAMALABANDO

    JamiiForums Tanzania Zitto Zuberi Kabwe: Uteuzi wa Mama Salma Kikwete ni kama teuzi nyingine, ana haki kikatiba

    Maoni yanngu dhidi ya uteuzi wa mama Salma J. Kikwete nafasi ya Mbunge na Mhe Rais John Pombe Magufuli. Kwanza lazima tufahamu Rais wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania ni Mkuu wa nchi, kiongozi wa serikali na Amri Jeshi Mkuu. Kwa mjujibu wa katiba yetu ibara ya 36 kifungu cha (2) kinasema...
  3. NYAMALABANDO

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya mfano wa ki-demokrasia

    Amna chumvi hapo brother tanzania ni nchi ya mfano ki-demokrasia
  4. NYAMALABANDO

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya mfano wa ki-demokrasia

    Naposema Tanzania ni nchi ya mfano wa ki-demokrasia nahusisha moja kwa moja na chimbuko la mamlaka ya dola ambalo ni wananchi wenyewe. Serikali ya Tanzania imepata uhalali wake kutokana na wananchi kupitia katiba, vilevile kushiriki kwa wananchi katika maamuzi kuhusu mambo yanayogusa maslahi yao...
  5. NYAMALABANDO

    JamiiForums Tanzania Ndugai tuambie kwanini upoteze pesa za umma kuunda kamati ya muafaka kwa wavunja kanuni za Bunge?

    Bunge aliongozwi kwa busara bali kuna sheria, taratibu na kanuni....kama ndugai anafuata hayo tutaonaa
  6. NYAMALABANDO

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Sixtus Mapunda Akamatwa na TAKUKURU

    Mafisadi sasa watakiona
  7. NYAMALABANDO

    JamiiForums Tanzania UDSM Students' Death Announcement

    Pole sana ndg
  8. NYAMALABANDO

    JamiiForums Tanzania Je unaweza jibu swali hili..?

    sehemu ya nyuma
  9. NYAMALABANDO

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kenya aidharau Tanzania

    mi nafikiri iwe kama changamoto kwa viongoz wa tz ni aibu mpaka wagen wanajua maovu yao, 2badilike kama 2naka development
  10. NYAMALABANDO

    JamiiForums Tanzania penzi la shemeji

    Kula kuku na mayai yake luksaaaa!
  11. NYAMALABANDO

    JamiiForums Tanzania jinsi nilivyoacha kupiga punyeto.

    Duuuhhh!
  12. NYAMALABANDO

    JamiiForums Tanzania Nimekosa imani kwa Wema Sepetu kiukweli nampenda.

    ntafute!
  13. NYAMALABANDO

    JamiiForums Tanzania Mwanamke secretary anafaa kumuoa?

    mmmhhh!
Back
Top Bottom