Recent content by nyamakonge

  1. nyamakonge

    Waziri wa Afya amezindua huduma za mashine ya CT – SCAN katika hospitali ya Bugando

    Jambo jema sana ..itaboresha huduma kwa jamii ya kanda ya ziwa
  2. nyamakonge

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

    Tatizo la viongozi wengi katika serikali wanasubiri mpk kila kitu waambiwe na namba moja. Yaani ata kutekeleza baadhi ya majukumu yao wanashindwa .wamejawa hofu na ndio wanamkwamisha mpendwa namba moja wetu.nashukuru juzi aliwachana pale bandarini.
  3. nyamakonge

    Natafuta marafiki wenye hasira na hamasa ya kutafuta pesa Kwa njia halali tusaidiane mawazo.

    Siku binadamu watakapoungana na kushare idea za kibiashara ndipo duniani umasiki utakapoisha.
  4. nyamakonge

    Jesca Kishoa kwa hili la kumkosoa Kafulila hadharani na kufuta picha zake kwenye mitandao yako ya kijamii, umekosea

    Wanabodi nachukua fursa hii kuwatakia afya njema. Nami naomba nichukue fursa hii kutoa maoni yangu juu ya yale aliyoyazungumza Mh. Jesca Kishoa mbunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA na mke halali wa mwanasiasa David Kafulila. Mapema katikati ya wiki hii David Kafulila ambaye alikua mwanachama...
  5. nyamakonge

    Waziri Lawrence Masha hana uwezo

    Kwenye hii thread kitila alimuita boss wake wa sasa kanyaboya....ahahah kumbe ndio maana tunafundwa kuwa na akiba ya maneno
  6. nyamakonge

    Wanaoujiunga CCM wanatoka CHADEMA peke yake?

    Hii ni political propaganda inaruhusiwa kabisa kwakua ni vyama hivi viwili vyenye ushindani wa hali ya juu. MFANO ni rahisi kwa simba kumsajili mchezaji kutoka yanga wakidhani wanabomoa yanga wakati huo huo kuna mchezaji wa lipuli au mbao ana uwezo sawa na yule waliemsajili kutoka Yanga.
  7. nyamakonge

    Medicine vs Pharmacy

    Sent using Jamii Forums mobile app
  8. nyamakonge

    Engine ya altezza 4 cylinder inahitajika

    Zile mkuu za kuunga unga tu hapa nahitaji genuine. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. nyamakonge

    Engine ya altezza 4 cylinder inahitajika

    babkaju3 ni pm Sent using Jamii Forums mobile app
  10. nyamakonge

    Engine ya altezza 4 cylinder inahitajika

    Wakuu natafuta engine ya altezza four cylinder..mwenye access ani pm tufanye biashara. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. nyamakonge

    Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo?

    Umesema sahihi sana.Naomba nichangie kwenye ili la utitiri wa vyombo vya habari. Ingawa uwepo wa vyombo vingi vya habari unatoa fursa za ajira kwa wananchi wenzetu.Lakini ni wakati wa kuangalia sheria ya uanzishwaji wa vyombo hivi.Sasa hivi imekua kama "fasheni" kila mkoa kuwa na either kituo...
  12. nyamakonge

    Uchaguzi wa TLS waachiwe mawakili

    Wakuu heshima kwenu. jumuiya ya wanasheria nchini inatarajiwa kufanya uchaguzi baadae mwezi huu kupata viongozi mbalimbali watakao ongoza jumuiya hiyo kwa muda husika kikatiba. Tofauti na chaguzi zingine zilizopita za jumuiya hii( TLS) ,uchaguzi huu umeonekana kuingiliwa na watu ata ambao sio...
  13. nyamakonge

    Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mkuu Paskali una uhakika upi kuwa bandiko lako ndio lilisababisha ongezeko la uteuzi wa wabunge wanawake? Je huoni kuwa ongezeko lilikuja baada ya mkuu kugundua kuwa ameenda kinyume na katiba hivyo kumfanya amteua mbunge mmoja wa kiume kuwa balozi ili asionekane kavunja katiba. Pili hoja yangu...
Back
Top Bottom