Tutashikana uchawi sana, lakini naamini tumefikishwa hapa na mfumo wetu wa utawala, serikali, bunge na mahakama. Bunge letu limekuwa ni sehemu ya serikali. Wajibu wake wa usimamizi limeuweka pembeni. Kelele za matatizo ya hujuma kwenye madini zilipigiwa siku nyingi na wapinzani bungeni. Mkuu mmoja aliwahi kusema mikataba inatakiwa iangaliwe upya. Alipoenda marekani kurudi akawa bubu. Hakuna mbunge aliewahi mkumbusha mpaka miaka yake kumi inaisha.