Recent content by nyamadoke75

  1. nyamadoke75

    GE2025 Kilimanjaro: Mwenyekiti CCM Hai ampigia debe Saasisha Mafuwe huku akiwabeza wengine hawana uwezo

    Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
  2. nyamadoke75

    Kampuni ya A To Z yashinda tuzo mbili kubwa waziri mkuu Kassim Majaliwa apongeza

    Kampuni ya A-Z Goup LTD ya Jijini Arusha imeibuka kidedea mara baada ya kupata tuzo mbili nzito Kuwa kampuni yakwanza kuwa na mfumo madhubuti wa usalama mahari pakazi na tuzo yapili yakuwa kampuni yakwanza kwakutowa taarifa za hajali kwa wakati. Pia kwa kupunguza ajali kazini mwajiri mkubwa...
  3. nyamadoke75

    Wachimbaji wa madini mererani wachachamaa wapinga soko la madini kuamishwa kwenda Arusha tunasimama na kauli ya Rais Samia

    SAKATA la kutaka soko la Madini ya Tanzanite kufanyika sehemu zote nchini sasa limeingia katika sura mpya baada ya wachimbaji wa madini hayo kusema kuwa wanaongoza agenda hiyo hawana nia njema na Serikali na wachimbaji kwani wametanguliza maslahi yao binafsi. Wachimbaji hao walisema na...
  4. nyamadoke75

    Wahasibu 2,000 barani Afrika kukutana Arusha kwa siku tatu mkutano wa pili wa kimataifa

    WAHASIBU wakuu wa Serikali wa nchi za bara la Afrika wapatao 2000 wanatarajiwa kushiriki kwenye Mkutano wa pili wa kimataifa wa siku tatu,u utakaofanyika Desemba 2-hadi 5 mwaka 2024 kwenye kituo cha mikutano ya kimataifa AICC Jijini Arusha. Mhasibu mkuu wa Serikali,CPA, Leonard...
  5. nyamadoke75

    Hatima ya Vigogo wa Polisi watuhumiwa wa kesi za Mirungi na Rushwa, Mikononi mwa IGP Camilius Wambura

    MAHAKAMA ya Kijeshi la Jeshi la Polisi imewatiaa hatiani Wakaguzi Waandamizi wanne wa Polisi Mkoani Arusha kwa makosa matatu ikiwemo kushawishi na kuomba rushwa ya shilingi milioni 10 na kuachia madawa ya kulevya aina ya Mirungi kilo zaidi ya 1200 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 60...
  6. nyamadoke75

    Hatima ya Vigogo wa Polisi watuhumiwa wa kesi za Mirungi na Rushwa, Mikononi mwa IGP Camilius Wambura

    Mahakama ya kijeshi la jeshi la polisi imewatia hatiani wakaguzi waandamizi wanne wa polisi mkoani Arusha kwa makosa matatu ikiwemo kushawishi na kuomba rushwa ya shilingi milioni 10 na kuachia madawa ya kulevya aina ya mirungi kilo zaidi ya 1200 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 60...
  7. nyamadoke75

    Serikali imekaa kimya kuhusu matapeli wa mtandaoni

    SERIKALI YA ZANZIBAR IMEKAA KIMYA KUHUSU HAWA MATAPELI WA MTANDAONI HII NI HATARI KWA WATU WANAOTAKA KUFANYA BIASHARA ZANZIBAR KUONA MATAPELI @soknibike WEZI WANAKUMBATIWA NA SERIKALI SASA WANANCHI WOTE KUWENI MAKINI NA HAWA SOKONI BUKE TUNAOMBA JESHI LA POLISI ZANZIBAR LIWASHULIKIE...
  8. nyamadoke75

    Mfanyabiashara alizwa na matapeli wa mtandaoni Zanzibar

    https://youtu.be/lzqi1c0ZS1M?si=FK6R2UCMqI0h-oSz Mfanya biashara maarufu nchini amelilia waziri Mwinyi kushughulika na genge la matapeli wa mtandaoni wanao tapeli watanzania wa bara na visiwani ambapo hivi karibu aliagiza baiskeli ya mtoto kwa kutoa shilingi laki nne na tisini lakini hajapata...
  9. nyamadoke75

    A-Z yatikisa maonyesho mahala pa kazi Biteko kuzindua kesho rasmi Arusha

    Mwenyekiti wa bodi ya wakala wa usalama na afya mahali pa kazi Adelhelm James Meru ametembelea maonyesho ya mabanda katika viwanja vya General teyre Jijini Arusha kukagua mabanda pamoja na kujionea majukumu ya utekelezaji wa vifaa vinavyo tumika mahala pakazi kwa tahasisi mbali mbali za...
  10. nyamadoke75

    The Junta that staged a coup to overthrow director general Prof. Martin Lwanga from power at Eastern and Southern Africa Management Institute (ESAMI)

    THE JUNTA THAT STAGED A COUP TO OVERTHROW DIRECTOR GENERAL PROF. MARTIN LWANGA FROM POWER AT EASTERN AND SOUTHERN AFRICA MANAGEMENT INSTITUTE (ESAMI) WITHOUT FOLLOWING DUE PROCESS The ESAMI Board, led by Mr Simon Masanga from Zimbabwe, removed the fifth ESAMI Director General Prof Martin...
  11. nyamadoke75

    Boss wa Kipong Arusha bado anaozea Mahabusu, kimada wake, Michelle Mrema achomoka lokapu kiutata

    Mkurugenzi wa Bar Maarufu ya Kipong ya jijini Arusha ,John Casian bado anashikiliwa na polisi Arusha, kwa kosa la kutengeneza na kuuza vinywaji feki aina ya Konyagi kinyume cha sheria huku kimada wake Michelle Mrema mtoto wa Bilionea Mrema,akitolewa mahabusu kiutata. Casian alikamatwa Machi...
  12. nyamadoke75

    Kampuni ya kukusanya madeni ya Marcas yatimuliwa kwa kuiba Mali za mteja katika hoteli ya Impala

    Mkurugenzi wa kampuni ya Marcas debt collectors, Richard Paul amekosa uaminifu na kutia aibu ya mwaka baada ya kampuni yake kufukuzwa kwenye tenda ya kuuza vifaa Mbalimbali katika jengo lililokuwa hotel ya Impala jijini Arusha baada ya kuiba vifaa vya mteja wake vya mamilioni ya fedha...
  13. nyamadoke75

    Mjumbe wa Kamati ya Siasa CCM Issa Bulilo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kilimanjaro kwa utapeli wa Tsh. Mil. 2,000,000/-

    Usiku wa kuamkia leo Jeshi la Polisi kupitia kwa makachero wake walioweka mtego nyumbani kwake kata ya Korongoni wilayani Moshi walimtia mkononi majira ya saa 3 usiku akijaribu kutoroka na kukamatwa huku tapeli huyo amekutwa na hirizi tatu kiunoni. Vijana hao mbele ya Jeshi la Polisi walikiri...
  14. nyamadoke75

    Simanjiro: Kampuni ya Gem & Rocky Venture inayochimba madini ya Tanzanite kitalu B katika Mji wa Mirerani imetakiwa kuchimba kufuata leseni waliyopewa

    Kampuni ya uchimbaji madini ya Gem & Rocky Venture inayochimba madini ya Tanzanite kitalu B katika Mji wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara imetakiwa kuchimba madini hayo kwa kufuata leseni waliyopewa na sio vinginevyo. Hayo yalisemwa na Afisa Mfawidhi wa Madini Kanda ya...
  15. nyamadoke75

    Serikali yapoteza mabilioni ya mapato kisa mgodi kufungwa sababu ya madalali wa dhahabu

    Afisa Mfawidhi wa Madini Mkoa wa Tanga,Zabibu Napacho amesitisha shughuli za Uchimbaji katika mgodi wa Dhahabu ulipo katika kijiji cha Kwandege Kata ya Lang’ata Wilayani Handeni Mkoani Tanga unaomilikiwa na Godfrey Bitesigirwe kutokana na mgogoro uliopo baina ya mmiliki wa mgodi huo na wenye...
Back
Top Bottom