Recent content by nyama tamu

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Akili za kuambiwa changanya na zako,hv unajua mwanaume aliye jeruhiwa na mapenzi akili zake zilivyo?achana na ushauri wakijinga ww kaa kwakutulia mpende sana mumeo fanya kila jema kwake ataachilia tu na mtarudi km zamani
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Mwanamke hata umpe nn hariziki,niliishi na mke wangu kwa upendo Sana na sikuwahi kucheat hata cku moja ila nilikuja kuelewa kwamba sio mwanifu kwangu nikaona isiwe tabu.tuliachana km masihara vile maana nilipata maumivu makali sana nikaona nikiendelea kuishi nae kuna siku nitafanya mambo mabaya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

    Hiyo hali isikie tu kwa mwingine ikikufika ni hatari sana, kuna muda unakata tamaa hata ya kuishi tena maana hauoni mbele wala nyuma. Pole sana Mungu akuvushe
  4. N

    JamiiForums Tanzania Vodacom wamefungia line yangu ikiwa na milioni 10 kwenye M-PESA

    Kuweka hela nyingi kwenye cmu ni risk sana,mm nishapoteza 600k kwenye Airtel money kipindi kile wanaofa ya hakatwi mtu.nilienda Sana makao makuu yao ila ckupata msaada wowote kila cku ilikuwa sound tu nikaona napoteza muda
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nimepata kidonda kikubwa kwenye kichwa cha uume baada ya kunywa malafin

    komango kaelezea kitaalamu kabisa fanya hvyo itakuwa sawa ila usitumie tena dawa zenye sulfur
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nimepata kidonda kikubwa kwenye kichwa cha uume baada ya kunywa malafin

    Wahi hospital una allergy na hyo dawa
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnaopaka mafuta mwili mzima mwache tabia za kike

    Hahahaha,mtoa mada atakuwa amezaliwa miaka ya 1990s
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama boyfriend wako anakufanyia vitu hivi, basi hakupendi vyakutosha

    Sawa sawa@mido tz
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba amewakataa wachezaji 5 wapya

    Huyu kocha ndio atakaa muda mfupi Simba kuliko makocha wote waliopita ni suala la muda tu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kitulo Njombe: Usaili ajira za mda za sensa wagubikwa na vitendo vya rushwa na upendeleo

    Kila jipu huanza km kipele,mungu atusaidie tu maana mbele kuna mambo makubwa sana tutashuhudia zaidi ya haya.Mungu ilinde Tanzania
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Watu wamenyoosha mkono lakin bado wameliwa vichwa km kawaida
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Hii mishe ngumu sana nafasi ya maudhui 3 lakin usahili wanaitwa watu 200+ hakuna kitu hapo na cha ajabu unakuta wakuu wa idara pia wamo
  13. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya simu used Zanzibar

    Hao jamaa ni matapeli jaribu kuwapigia uone km watapokea cmu yko,wengi wamepigwa kwa sababu yakuona bei zao ziko chini
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nissan X Trail aka Kimeo

    Vp kuhusu Toyota crown
  15. N

    JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso mtoto wa mama n'tilie pokea maua yako

    Tunahitaji vijana wa namna hii sio wa unanijua mm ni nani
Back
Top Bottom