Recent content by Nyalumana originally

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hivi dume Zima unakaaje kwenye nyumba ya kupanga hata chumba kimoja kimekushinda

    Wengine tumeamua kupangisha za kwetu na kupanga za wengine kutokana na majukumu ya kikazi huwezi kujenga kila mkoa unapohamia kikazi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Jitu alilolichukua kutoka huko nje na kuliteua ni nani hasa?

    Mchungaji Gwajiboy
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kufata ili namba ya NIDA iliyofungiwa iwe accessible tena.

    Kosa tulilolifanya hasa kwa sisi tulioandikisha vitambulisho 2017 na 2018 ni kutokuweka ushahidi wa ufuatiliaji wa vitambulisho.Nadhani kulitakiwa kuwepo na sehemu ya kusaini kila ukienda ofisi zao kuwa ulifika ila kitambulisho bado.Mfano mimi toka 2017 nilijiandikishia Nyamagana Mwanza...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje Kupunguza Gharama za Milango?

    Duuu umenikumbusha mbali sana "MIHUMULA"lazima umetokea Kagera wewe,aisee fundi akikufungia mlango huo kwa makusudi ni kumfata na shotgun kabisa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hivi demokrasia ni Marekani kuzivamia Iraq, Libya, Kongo, Afganstan, Vietinam, nk??

    Yaani jinga la kiwango cha degree
  6. N

    JamiiForums Tanzania Pajue Iringa kwa kupitia picha

    Pia mji una hali bora sana ya usafi nadhani Iringa. Cbd ndio mji msafi kuliko yote Tanzania
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo orodha ya Majiji, Manispaa, Miji na Halmashauri 65 zenye mzunguko mkubwa wa fedha ukianzisha biashara hapa, kutoboa ni lazima

    Asante nilisoma kwa haraka kiongozi nilikuwa kwa toyo sikuona,shukrani,make ningeshangaa kwa mahotel mengi ya kitalii Karatu plus zao la biashara la ngano,mbaazi,kitunguu,mahindi,maharage na mifugo ya kila aina plus uwepo wa hifadhi ya Ngorongoro
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo orodha ya Majiji, Manispaa, Miji na Halmashauri 65 zenye mzunguko mkubwa wa fedha ukianzisha biashara hapa, kutoboa ni lazima

    Duu nasikiaga karatu ni wilaya ya pili baada ya kwa zao la utalii Tanzania hata kwenye hiyo namba 65 haimo?Ni maajabu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

    OK tuachane na hayo ya misahafu ya kuletewa turudi kwenye uhalisia wa maisha ya mwanamke mwenye kipato anavyoweza kumnuinua mumewe kupitia kipato chake bila manunguniko au kuleta tafrani
  10. N

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

    Wanakagera kutokuwa tayari kuijega Kagera yao wanapotafutia riziki na maisha yanakuwa hapohapo mfano wahaya wameijenga Mwanza,Dar na sasa Wanazidi kuijenga Dodoma na ni wawekezaji wazuri wa maeneo yote ya nchi but sio Kagera,Kagera limebaki eneo maalum kwa ajili ya makaburi,kila Mhaya anayewaza...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

    Tunasema lile lenye unafuu toka enzi na enzi lile ambalo hata misahafu ya dini imeelekeza,tumezaliwa tumekuta mama zetu wanalelewa na waume kwa kila kitu na ndoa zilidumu bila malalamiko but familia za sasa zimekuwa kitendawili baada ya kuruhusu haki sawa mpk ktk utafutaji,wanawake wameingia...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

    Wewe ni umbwa haswaaaa,hahahaha.Niliwahai kuwa km wewe sehemu ya maporini,nilikuwa nanunua carton 2 za konyagi ili angalau nipige wiki kadhaa kabla cjarudi town but nilijikuta mzigo unakata ndn ya 2days.So toka hapo sijawahi kufanya usenge huu hata creti ya bia siwezi kuileta home na km ni...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Opportunity cost ya mke kujiajiri au kuajiriwa na mke kubaki nyumbani bila kuajiriwa au kujiajiri

    Ukweli mtupu kaka,nimeishi na wife huu mwaka wa 18 ni mama wa nyumbani sijawahi kujutia,natoka job nakuta kila kitu kimeandaliwa kwa ajili yangu kuanzia moyo,roho na mwili,nakuta yeye watoto wananisubiri kwa hamu jioni nikitoka job,yaani ni burudani tosha,make waweza mruhusu mwanamke atafute...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Opportunity cost ya mke kujiajiri au kuajiriwa na mke kubaki nyumbani bila kuajiriwa au kujiajiri

    Hilo wazi,mimi naamin hawa wanawake wanatakiwa kukaa home wakutunze wewe na wanao basi,Baba pambana kichwa na miguu akikisha mke na familia yako inaishi kwa raha.Tofauti na hapo ukiruhusu mke aingie nae kutafuta pesa ujue imekulamba,mfano mdogo;angalia wanawake wanaofanya biashara hasa ya...
Back
Top Bottom